Wababa/kaka hivi ni kweli

Kweli Gaga,

Ila kwanza lazima ujue kwamba wanawake nao wana udhaifu wao. Nadhani huyo brothermen labda hakuwa na uzoefu wa kutosha kulijua hilo.

Halafu uweze kufanya maamuzi ya haraka sana. Kumbu huyo jamaa alikuwa na sekunde chache sana, ama kuamua kutimua mbio, kuendelea hivyo hivyo au kumgeuzia kibao dada ili siku nyingine asicheze na bull's horns!!
Ndio huo udhaifu nilisema autumie maana mwanamke angepigwa kidogo du anakuwa mnyonge na kuanza kulalamika hapo ndio kidume kinaibuka na maujuzi ya kubembeleza mwisho kitu na box
 
Mhhhhh...Asha wewe, unataka kuelekea wapi? Kwamba a friend in need...ili Maty amwomfiche uso huyo bitozi? Hivi kweli hiyo huwa ipo???

Ngoja tumsubiri Maty atupe jibu!!

ha ha ha .... Umenisoma eeeh??? lol.. lakini ngoja nisikie kamsaidia vipi.. kweli a friend in need...
 
Ndio huo udhaifu nilisema autumie maana mwanamke angepigwa kidogo du anakuwa mnyonge na kuanza kulalamika hapo ndio kidume kinaibuka na maujuzi ya kubembeleza mwisho kitu na box

Gaga wewe,

Ili uende sehemu si lazima ujue njia au means of transport za kukufikisha huko? May be dogo hakuwa aware...Let's give him a benefit of doubt!!
 
ha ha ha .... Umenisoma eeeh??? lol.. lakini ngoja nisikie kamsaidia vipi.. kweli a friend in need...

Asha,

Hivi hilo jambo la kumwonea mtu huwa linawezekana kweli? From another world of "she" beings!!!!

Kwetu sisi ni kawaida sana kwa sababu wengi huwa tunawinda sana na hatupati. Wakati mwingine tunaishia hata kusomba somba mizoga. Kwa hiyo mtu anayehitaji huruma inakuwa blessing in disguise ingawa inabidi kuwa na uhakika kwamba marudi hayaruhusiwa au yategemee na mtoa huduma mwenyewe (siyo repeated requests)!!
 
DC Kuonea huruma to the extent akajua unamuonea huruma mno is not good, maana wengi huchukulia advantage katika circumstances kama hizo, ni vizuri kumuonea huruma huku unampasha ukweli rafiki yako katika mistakes anazofanya... Najua wakaka hukutana na mambo mengi (nina guys marafiki we talk about these things..) hivyo naelewa to some extent.. Na suala la kuzoa mizoga labda uwe una gunge na unaharaka ya kurealese but kukosa kabisa mwanamke/mwanume wa one night stand/F** buddy naona siku hizi ndo imekua worse... labda sijui kama unakosea vijiwe...
 
.

Asha, naomba unijibu tu kirahisi nielewe. Suala la kumwonea huruma mtu (rafiki wa kiume) aliyepatwa na matatizo kama hayo anayoongelea mati na kumpatia hazina yako ili akate kiu na ku-prove kwamba bado yuko fit linawezekana?????????
 
Inabidi Maty atusaidie kwa hilo..ila vyovyote vile mamii, lazima mtu utahamaki mbona nasusiwa au kuachiwa zoezi mwenyewe!!..he he

BJ,

Mbona nimeshakwambia kuwa kitu kama hicho ama ni adhabu au kosa la jinai. Huwezi kumfanyia mtu namna hiyo halafu useme ni friendly match!!
 
.

Asha, naomba unijibu tu kirahisi nielewe. Suala la kumwonea huruma mtu (rafiki wa kiume) aliyepatwa na matatizo kama hayo anayoongelea mati na kumpatia hazina yako ili akate kiu na ku-prove kwamba bado yuko fit linawezekana?????????

Umerudia kuuliza lakini nimejibu, Personally sioni kama huo ni huruma na siwezi fanya tu sababu namuonea mtu huruma labda ndio nimuonee huruma na nitake... Cha maana nilojifunza kutana na urafiki wa ke na me ni kua kama you have a best friend in a man it is not worth kulala nae for you would lose him forever... haya mambo ya casual kati ya marafiki uongo tupi!!!
 
Maty bana....khaaa!

Hebu nambie, ulikuwa unachungulia dirishani au huyo mdada alikusimulia?

Umemwamini? Kama ameliwa lakini akakuongopea hivyo ili ujue hajaliwa?

Na uzee wangu huu, unisaulie? walahi lazima nikukule hata kwa kidole gumba cha mguu wa kushoto
 
Inabidi Maty atusaidie kwa hilo..ila vyovyote vile mamii, lazima mtu utahamaki mbona nasusiwa au kuachiwa zoezi mwenyewe!!..he he
Kweli ili uwe kauzu hivo si lazima taa uzime, imagine miguu kaachia huku anasema hivo.... ndio maana mkaka wa watu alikimbia lol
 
ha ha ha ha ...nadhani alipata shock hakutegemea mkwara mzito kama huo ujasili ukatoweka
 
Maty bana....khaaa!

Hebu nambie, ulikuwa unachungulia dirishani au huyo mdada alikusimulia?

Umemwamini? Kama ameliwa lakini akakuongopea hivyo ili ujue hajaliwa?

Na uzee wangu huu, unisaulie? walahi lazima nikukule hata kwa kidole gumba cha mguu wa kushoto

Kumbe macho ya wazee yanaona vitu kwa kwango sawa????? Huyu Maty bado ana kesi ya kujibu...Ukizingatia kwamba lilikuwa tukio la aibu kwa kaka wa watu kwa hiyo isingekuwa rahisi kwake kusimulia!!

Maty hawezi kukwepa maswali ya timu ya wababu!
 
Hahahaha babu bwana lol, amesimulia cause anajijua yuko fit ila yule mdada alimzubaisha na mkwara wake lol. Mbona kawaida sometimes huwa tunakaa kabisa tunapiga stori, kuna wakati tunaendaga vijijini huko kuwatumikia wananchi, jioni tunakaa tunaanza kupiga stori na mdada huwa ni mimi peke yangu so wakaka washazoea huwa hawaoni haya kupiga stori zozote mbele yangu.

Sasa si bora huyo alipigwa mkwara. Driver ye ndio alituacha hoi kabisa ye alikutana na mdada wakakubaliana vizuri, siku ya siku haoooo wakavunje amri. Kufika tu mdada akasaula akaenda kuoga akarudi akajilaza kitandani chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiii anamsubiri mjamaa akaoge aje. He yule baba kuona vile akajiuliza huyu vipi mbona kajianika akahisi mziki wake utakua mnene akajifanya ananunua maji hapo nje huyoooo akaishia zake.
 
Maty bana....khaaa!

Hebu nambie, ulikuwa unachungulia dirishani au huyo mdada alikusimulia?

Umemwamini? Kama ameliwa lakini akakuongopea hivyo ili ujue hajaliwa?

Na uzee wangu huu, unisaulie? walahi lazima nikukule hata kwa kidole gumba cha mguu wa kushoto

Hahahaha lol, ngoja nitakuja nitest huu ukauzu kwako babu nijionee lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom