Waathirika wa Mafuriko Dar na Njaa

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Niliona na kusikia tbc eti vyombo vya kupikia chakula ni vidogo hivyo kulazimika kupika kwa zamu kwa chombo. Watu wanashinda na njaa.Hivi jamani hata magudulia ya kupikia tumekosa? Aibu aibu
 
Back
Top Bottom