waasi wa CHADEMA wakila kiapo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890

Viongozi wapatao 30 wa Chadema ngazi ya wilaya katika wilaya ya Magu na Kwimba mkoani Mwanza, wakila kiapo cha utii, baada ya kurudisha kadi zao na kuhamia CCM wakati wa mkutano maalumu wa kuwapokea uliofanyika kwenye jengo la Nyanza jijini Mwanza. Mia
 
Duuuh laiti wangelijua wasingethubutu kabisa kuhamia CCM. Uvumilivu katika siasa ni jambo linalowashinda wanasiasa njaa njaa wengi. Tuvute subira.
 
Wanatubishwa!washenzi sana!hivi utatapikaje na kula matapishi yako?!shwain
 
Kwani lazima wabaki CDM?ni offence kuhama CDM? Si ndio demokrasia hiyoooo?
 
CCM kwishinei, yaani mpaka Ngereja Waziri mzima ameanza kuokoteza wanachama?
 
Viongozi wapatao 30 wa Chadema ngazi ya wilaya katika wilaya ya Magu na Kwimba mkoani Mwanza, wakila kiapo cha utii, baada ya kurudisha kadi zao na kuhamia CCM wakati wa mkutano maalumu wa kuwapokea uliofanyika kwenye jengo la Nyanza jijini Mwanza. Mia
Mpaka wake na watoto wao mnawahesabau kuwa ni viongozi wa chadema.....
 
Hawa ni wenye njaa na shida wamefuata sh,mia mbili wakati watoto wao wanazalia nyumbani na wanaelimu duni.
 
hao wamehongwa kahawa huko uswailini na 5000 yamawziwa ya mtoto, anarudisha kadi ngoja 2onekesho kama watapewa tena nawakirudi msiwapokee,
 
Viongozi wapatao 30 wa Chadema ngazi ya wilaya katika wilaya ya Magu na Kwimba mkoani Mwanza, wakila kiapo cha utii, baada ya kurudisha kadi zao na kuhamia CCM wakati wa mkutano maalumu wa kuwapokea uliofanyika kwenye jengo la Nyanza jijini Mwanza. Mia
..............hivi kiapo huwa kinadhuru ? maanake hata CHADEMA waliapa hivi hivi!:juggle:
 
Viongozi wapatao 30 wa Chadema ngazi ya wilaya katika wilaya ya Magu na Kwimba mkoani Mwanza, wakila kiapo cha utii, baada ya kurudisha kadi zao na kuhamia CCM wakati wa mkutano maalumu wa kuwapokea uliofanyika kwenye jengo la Nyanza jijini Mwanza. Mia

hapo unatudanganya...viongozi 30 wa wapi?? Mia
 
ni njaa tu, wamenunuliwa ili chama cha majambazi kionekane bora.

Hao nao ni takataka.

wameona hawa-fit cdm, kwahiyo wameenda kwa mafisi wenzao...lol
 
Back
Top Bottom