Waarabu Wenye Asili ya Kiafrika?

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Waarabu ni watu waliofanya biashara ya utumwa kwa muda mrefu sana na victim wakubwa wa biashara hiyo haramu ni Waafrika! Wazungu pia walifanya biashara hiyo kwa muda mrefu. Kwa upande wa Wazungu wao walizaa na Waafrika ambao walichukuliwa utumwani na ndio maana kuna Wamarekani wenye asili ya Kiafrika. Hata hivyo sijawahi kusikia Waarabu wenye asili ya Kiafrika! Tuseme kwamba waarabu hawakuzaa na Waafrika au kilitokea nini hasa?
 
labda ni wachache kiasi cha kutoonekana wala kusikika,timu ya taifa ya soka ya SAUDIA ina weusi wachache.............
 
Hii topic imekaa kiuchokozi-chokozi tu na kibaguzi dhidi ya watu wa asili hiyo waishio hapa nchini na ningeshauri Mods waichunguze na ikiwezekana kuiondoa. Inaweza ikawa ni precedent kwa kuanzishwa topic nyingine za lengo kama hilo.

Hata hivyo, pamoja na kusema haya inawezekana pia mwanzishaji wa topic hii haielewi historia barabara. Wapo waarabu wenye asili ya Kiafrika katika nchi za Kiarabu (in Gulf states) -- hasa Oman, nchi ambayo watu wake walikuja kuchukjuwa watumwa huku. Hivi sasa zaidi hawa wako sehemu za kusini za Oman (Salalah) lakini siyo wengi sana, na hawasikiki kama vile wale watumwa waliopelekwa Marekani. Sababu ya kutosikika ni udogo wa idadi yao, ingawa nao wako huru kabisa na wanafanya shughuli zao na hawana habari kabisa na huku kwao Afrika walikotoka.

Kama ilivyo kawaida, historia ni kitu kinachopotoshwa mara kwa mara ili kukidhi masilahi ya wale wanayoiandika. Tulisoma mashuleni jinsi Warabu walivyofanya biashara yao ya kikatili ya utumwa hapa nchini katika karne zilizopita kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Uhuru wa Watumwa -- kwa mfano. Lakini kumbe kule Afrika ya Magharibi suala hili la watumwa lilikuwa even more serious -- mamilioni ya wazalendo walisombwa na Wazungu kupelekwa utumwani kule Marekani kufanya kazi katika mashamba. Kwa wale waliosoma kitabu cha 'Roots' kilichoandikwa na Alex Haley, au kuiona filam yake wataelewa ukatili wa Wazungu hao dhidi ya Waafrika wakati ule.

Kuna mchangiaji mmoja ametaja Darfur -- ana-suggest kwamba Waarabu 9wale Wasudan ya Kaskazini wanawafanyia ukatili watu weusi kule. Hili suala la darfur nalo linapotoshwa sana kukidhi masilahi ya mataifa makubwa ya nje, hasa baada ya kugundulika mafuta kwa wingi sana katika eneo hilo. Suala hili limezuka miaka hii ya karibuni (kuanzia 2003) kwa sababu hiyo tu ya uwepo wa mafuta, kwani watu wa Darfur walikuwapo tangu enzi na enzi bila chokochoko.

Ni kwa bahati nzuri tu,labda, watu wa Darfur na wale Waarabu wa Kaskazini wa Sudan wote ni dini moja -- Waisilamu, ndiyo maana wanaotafuta masilahi wakasokomeza suala la rangi kwamba Wadarfur wanabaguliwa ki-rangi.

Angalia tofauti ilivyo katika Sudan ya Kusini ambako pia yaligundulika mafuta tena siku nyingi: Kwa kuwa tofauti kati ya Waskazini na Wakusini ni dini, basi wakaleta hoja kwamba hawa Wakusini wanabaguliwa kidini!
 
Counterpunch:
Topic ya aina kama hii iliwahi kuletwa huko nyuma na ilikuwa na heading 'Sehemu zote walizopita Waarabu hapa nchini kumebakia umasikini tu'. Nakumbuka kuna mmoja alichangia kwa kuuliza: 'Na hizo sehemu nyingine zenye umasikini ambako Waarabu hawakupita, ni nani alisababisha huo umasdikini? halikupatikana jibu la kuridhisha!
 
Kila alipopita mwarabu hapa bongo sehemu hiyo inbaki nyuma kimaendeleo...why ..kwa nini?
 
Ina maana alikopita Mwarabu kulikuwa hakuna maendeleo lakini hivi sasa Tangia tuwe huru tuna karibia miaka 50 tuna maendeleo gani mpaka sasa?Je huko Uarabuni nako hakuna maendeleo pia?Dar es Salaam lina jina la asili ya kiarabu waarabu walitawala huko nako hakuna maendeleo?
Hivi watu humu wanajadilia historia inayotusuta! tangia waarabu wametawala miaka mingi imepita hata waliotawaliwa hawapa hata kama kizazi chao kipo ina maana nchini hakuna watawala wa kuwawezesha hao wapate maendeleo?
Waarabu wana mafuta wameweza kuendeleza nchi zao Tanzania tuna rasilimali kibao madini kila aina ,mali asilia kibao tuna maendeleo gani?Hapa uta mlaumu Mwarabu?
Kuna maeneo Tanzania ambako hakuna historia ya waarabu walipita watu lakini maskini wa kutupa !
 
Kumbe Waarabu wenye asili ya Kiafrika wapo huko Oman, kama ni kweli anyway, na kama wapo kwa nini ni wachache ukichukulia Waarabu wanapenda sana mambo ya ngono (juzi juzi Muamar Gadaffi alikuwa anawahimiza Wapalestina wazaane kwa wing ili ku-occupy Israel). Huko Darfur, kama suala ni mafuta kwa ni ugomvi uwe ni kati ya Waafrika na Waarabu?
 
Kuna hoja zingine kabla ya kuziazinsha
mngepaswa kutembea dunia na kuona kwa macho,sio mnakuja na pumba tu hapa..
No research no right to speak......
 
Kuna hoja zingine kabla ya kuziazinsha
mngepaswa kutembea dunia na kuona kwa macho,sio mnakuja na pumba tu hapa..
No research no right to speak......
The Boss unakosea. Hapa sijaongea tu bali nimeuliza na swali! Usiniambie kwamba vile vile kuna kitu kama "no research, no right to ask!" Hilo la kutembea dunia nzima kabla ya kuongea nafikiri hata wewe huna ubavu wa kufanya hivyo, eti nikitaka kujua juu ya aborigin wa Australia, nifunge safari mpaka huko kwanza, strange indeed!
 
So ili ujuwe kama muarabu anakuthamini ni lazima azae na waafrika?...have we learned anything in our history? Are we that insecured?
 
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateFri Feb 2010
Posts38
Thanks : 0
Thanked 9 Times in 8 Posts
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateSun Dec 2009
LocationRohoni
Posts1,038
Thanks : 375
Thanked 400 Times in 275 Posts fananisha harafu toa jibu lako, usiparamie tu
 
This topic is should be flagged and some of the people who commented need to receive warnings, I had no idea there were so many racists in this forum, seriously doesn't anybody read the rules??
rolleyes.gif
 
Raisi Omar Albashir wa Sudan utawala wake unaoambiwa unawabaguwa waafrika kafanana sana na rais mstaafu Mkapa kwa rangi na hata umbile.
Huko kwao hawaangaliani sana kwa rangi na upuuzi kama huu ambayo ni mafundisho ya uslamu.Wenye tabu ni nyinyi huku munaochochewa makanisani kwenu na hao wanaotaka mafuta kule, mwishowe munazungumza mambo ya kichizi na kujiaibisha wenyewe.
 
hawa wafuatao wote ni waarabu weusi naweza kuwaita au afro arabs
Sherine, Egyptian singer,Cheb Khaled, Algerian singer,Waed, Saudi singer,Soprano (rapper), French rapper of Comorian descent,Rohff, French rapper of Comorian descentSamir Loussif, Tunisian singer Hatem Trabelsi, Tunisian footballer,Radhi Jaïdi, Tunisian Footballer,Imed Mhedhebi, Tunisian footballer,Ali Zitouni, Tunisian footballer

Nashukuru ndugu gutierez kwa mchango wako. Naona jazba zimewapanda watu mpaka wanataka kupasuka! Wanahisi wanaonewa kila wakati, hata mtu ukimwangalia tu watakuambia "unanionea!"
 
This topic is should be flagged and some of the people who commented need to receive warnings, I had no idea there were so many racists in this forum, seriously doesn't anybody read the rules??
rolleyes.gif

Mara ngapi tumeona anti-Israel na anti-West topics na hakuna anayelalamika! Kwa mfano bonyeza link ifuatayo: Mayahudi ni bora kuliko watu wote? Wakiguswa "wateule" ndio unakuwa ni racism?
 
Mara ngapi tumeona anti-Israel na anti-West topics na hakuna anayelalamika! Kwa mfano bonyeza link ifuatayo: Mayahudi ni bora kuliko watu wote? Wakiguswa "wateule" ndio unakuwa ni racism?
Hivi hii ni anti-Israel?!

Rabbi Scheneerson aliwahi kusema: "We have a case of the Jew...a totally different species."
"The body of a Jewish person," Schneerson bragged, "is of a totally different quality from the body of members of all other nations of the world. Bodies of the Gentiles are in vain. An even greater difference is in regard to the soul...A non-Jewish soul comes from three satanic spheres, while the Jewish soul stems from holiness."

Kutokana kuwa wao Mayahudi wanaamini kuwa ni watu bora hivyo hawaruhusu ndoa na mtu asiye Myahudi (The Jerusalem Report, October 20, 1994, p.26).
 
Hii topic imekaa kiuchokozi-chokozi tu na kibaguzi dhidi ya watu wa asili hiyo waishio hapa nchini na ningeshauri Mods waichunguze na ikiwezekana kuiondoa. Inaweza ikawa ni precedent kwa kuanzishwa topic nyingine za lengo kama hilo.

Hata hivyo, pamoja na kusema haya inawezekana pia mwanzishaji wa topic hii haielewi historia barabara. Wapo waarabu wenye asili ya Kiafrika katika nchi za Kiarabu (in Gulf states) -- hasa Oman, nchi ambayo watu wake walikuja kuchukjuwa watumwa huku. Hivi sasa zaidi hawa wako sehemu za kusini za Oman (Salalah) lakini siyo wengi sana, na hawasikiki kama vile wale watumwa waliopelekwa Marekani. Sababu ya kutosikika ni udogo wa idadi yao, ingawa nao wako huru kabisa na wanafanya shughuli zao na hawana habari kabisa na huku kwao Afrika walikotoka.

Kama ilivyo kawaida, historia ni kitu kinachopotoshwa mara kwa mara ili kukidhi masilahi ya wale wanayoiandika. Tulisoma mashuleni jinsi Warabu walivyofanya biashara yao ya kikatili ya utumwa hapa nchini katika karne zilizopita kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Uhuru wa Watumwa -- kwa mfano. Lakini kumbe kule Afrika ya Magharibi suala hili la watumwa lilikuwa even more serious -- mamilioni ya wazalendo walisombwa na Wazungu kupelekwa utumwani kule Marekani kufanya kazi katika mashamba. Kwa wale waliosoma kitabu cha 'Roots' kilichoandikwa na Alex Haley, au kuiona filam yake wataelewa ukatili wa Wazungu hao dhidi ya Waafrika wakati ule.

Kuna mchangiaji mmoja ametaja Darfur -- ana-suggest kwamba Waarabu 9wale Wasudan ya Kaskazini wanawafanyia ukatili watu weusi kule. Hili suala la darfur nalo linapotoshwa sana kukidhi masilahi ya mataifa makubwa ya nje, hasa baada ya kugundulika mafuta kwa wingi sana katika eneo hilo. Suala hili limezuka miaka hii ya karibuni (kuanzia 2003) kwa sababu hiyo tu ya uwepo wa mafuta, kwani watu wa Darfur walikuwapo tangu enzi na enzi bila chokochoko.

Ni kwa bahati nzuri tu,labda, watu wa Darfur na wale Waarabu wa Kaskazini wa Sudan wote ni dini moja -- Waisilamu, ndiyo maana wanaotafuta masilahi wakasokomeza suala la rangi kwamba Wadarfur wanabaguliwa ki-rangi.

Angalia tofauti ilivyo katika Sudan ya Kusini ambako pia yaligundulika mafuta tena siku nyingi: Kwa kuwa tofauti kati ya Waskazini na Wakusini ni dini, basi wakaleta hoja kwamba hawa Wakusini wanabaguliwa kidini!

Kwa hiyo mauaji ya Darfur yanafanywa na akina nani?

Au ni nani alizamisha mji wa Wanubi (ngozi nyeusi) kule Misri na kujengwa bwabwa kwenye mto Nile? Hebu tupe ufafanuzi maana waonekana una maarifa sana weye.
 
Na ni kitabu cha kina nani kinaosema hivi?!
"Jehovah created the non-Jew in human form so that the Jew would not have to be served by beasts. The non-Jew is consequently an animal in human form, and commanded to serve the Jew day and night." - Midrasch Talpioth, p225-L.
 
Back
Top Bottom