Waarabu wamewapa nini?

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
Salam alekum. Mwarabu kampa nini mswahili? Nafikiria historia kati ya mswahili na mwarabu. Ni historia mbaya. Mswahili alihasiwa na mwarabu kipindi hicho. Hakuna adhabu mbaya kama hii. Leo tunakumbatia lugha, imani na tamaduni zao. Hivi wanatuonaje hawa?
 
Mkuu wanao kumbatia ni waislam. Wao mwarabu ni kama jini la allah.
 
Salam alekum. Mwarabu kampa nini mswahili? Nafikiria historia kati ya mswahili na mwarabu. Ni historia mbaya. Mswahili alihasiwa na mwarabu kipindi hicho. Hakuna adhabu mbaya kama hii. Leo tunakumbatia lugha, imani na tamaduni zao. Hivi wanatuonaje hawa?
Hili swali ni lakujibiwa na Ritz a.k.a Ritzwani, Rajeo,Bi Zakia pamoja na Sheikh Barubaru.
 
ni ujinga tu wa wabongo unaotokana na unyonge na umaskini uliokithiri. watanzanian wanabadilika pole pole nadhani itakwisha with time lakini kumbuka watz wanatabia ya kupaparikia wageni wawe wazungu, wakenya, wachina, wazaire, etc
 
Wakuu bora hata hawa wa mataifa mengine ila si waarabu. Tuna historia nao mbaya sana, halafu mahaba juu yao yanaongezeka
 
Back
Top Bottom