Waangalizi wa kimataifa watoboa: NEC siyo huru hata kidogo...

CCM continues to disgrace the nation of Tanzania and the people of Tanzania.

Perhaps international involvement will 'cure' CCM.

Ku-disgrace vipi? Huo uchaguzi wenyewe haujulikani kimataifa mpaka mpigane mapanga.
 
Ku-disgrace vipi? Huo uchaguzi wenyewe haujulikani kimataifa mpaka mpigane mapanga.

CCM continues to tarnish the image of Tanzania.

It's irrefutable that CCM is currently the worst political party in East Africa.
 
Katika khali ya kuuponda ushindi wa mezani wa JK waangalizi wa kimataifa wametoboa ya kuwa siyo sahihi hata kidogo kwa Raisi ambaye naye ni mgombea na chama chake kinagombea uchaguzi huohuo na hivyo kuwa mwenye masilahi mazito kwenye uchaguzi kuwa ndiye anayeteua Tume ya Uchaguzi yaani NEC..............chaguzi hiyo siyo ya huru wala ya haki hata kidogo.

SOURCE: MAJIRA ya leo



Tume yetu ya Uchaguzi ni HURU SANA na imefanya kazi nzuri sana. Mapungufu ni jambo la kawaida katika chaguzi zozote hapa duniani. Ni aibu kwa MTANZANIA nchi iliyoasisiwa na MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE kukimbilia katika balozi za nje na kumwaga malalamiko yake na kuikashifu nchi yake na TUME YA UCHAGUZI.

Ni lazima watanzania tujifunze kupenda na kuthamini chetu. Ubora wa uchaguzi wetu hautegemei SIFA TUNAZOPEWA na hao waliotutawala na wanaotutawala kiuchumi wa EU na kadhalika. Hata huko EU wana malalamiko yao kuhusu chaguzi zao. Kwa mfano someni taarifa hii iliyo katika WIKIPEDIA kuhusu uchaguzi wa Uingereza uliomwingiza David Cameron katika madaraka ya Uwaziri Mkuu-

“Controversy in May 2010 general election UK:
The Electoral Commission and Jenny Watson, its head, faced widespread criticism for the handling of the United Kingdom general election, 2010.[1][2][3][4] Some of the major criticism included that:
  • There was widespread fraud in the election, especially in postal voting.[3]
  • Many voters were not allowed to vote because the polling stations were not ready for them.[5]
  • Police were used to control voters from voting who had arrived at the polling station on time but were not being allowed to vote.[6][5]
  • Polling stations kept students waiting while treating other voters to a fast-track service. The reason officials gave for this is that students lacked polling cards, despite such cards not being a legal requirement for voting.[7]
  • "... the British system [of voting] is possibly the most corruptible in the world because of the potential for postal ballot fraud and double voting through the absence of any requirement for identification at polling stations" according to Ababu Namwamba, a Kenyan MP. [2]
  • Civil servants in charge of administering voting had decided to print only enough ballot papers to allow 80% of voters to vote, thus guaranteeing that 20% of the electorate would be disenfrachised.
Source: Electoral Commission (United Kingdom) - Wikipedia, the free encyclopedia

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
tume yetu ya uchaguzi ni huru sana na imefanya kazi nzuri sana. mapungufu ni jambo la kawaida katika chaguzi zozote hapa duniani. Ni aibu kwa mtanzania nchi iliyoasisiwa na mwalimu julius kambarage nyerere kukimbilia katika balozi za nje na kumwaga malalamiko yake na kuikashifu nchi yake na tume ya uchaguzi.

ni lazima watanzania tujifunze kupenda na kuthamini chetu. Ubora wa uchaguzi wetu hautegemei sifa tunazopewa na hao waliotutawala na wanaotutawala kiuchumi wa eu na kadhalika. Hata huko eu wana malalamiko yao kuhusu chaguzi zao. Kwa mfano someni taarifa hii iliyo katika wikipedia kuhusu uchaguzi wa uingereza uliomwingiza david cameron katika madaraka ya uwaziri mkuu-

“controversy in may 2010 general election uk:
the electoral commission and jenny watson, its head, faced widespread criticism for the handling of the united kingdom general election, 2010.[1][2][3][4] some of the major criticism included that:
  • there was widespread fraud in the election, especially in postal voting.[3]
  • many voters were not allowed to vote because the polling stations were not ready for them.[5]
  • police were used to control voters from voting who had arrived at the polling station on time but were not being allowed to vote.[6][5]
  • polling stations kept students waiting while treating other voters to a fast-track service. The reason officials gave for this is that students lacked polling cards, despite such cards not being a legal requirement for voting.[7]
  • "... The british system [of voting] is possibly the most corruptible in the world because of the potential for postal ballot fraud and double voting through the absence of any requirement for identification at polling stations" according to ababu namwamba, a kenyan mp. [2]
  • civil servants in charge of administering voting had decided to print only enough ballot papers to allow 80% of voters to vote, thus guaranteeing that 20% of the electorate would be disenfrachised.
source: electoral commission (united kingdom) - wikipedia, the free encyclopedia

mungu ibariki tanzania.

kwahiyo kwa akili yako ya matope unadiriki kusema kuwa tume yetu ni huru?? Mgombea eti bado raisi na ndo alimteua huyo bosi wa tume unategemea huyo bosi wa tume atakuwa fair au atamwogopa bosi wake alomteua kama jaji lewis anavofanya kwa kikwete? Au unahitaji phd (isiwe ya kujitwika na kujiproud kama ya jakaya) ilikujua hilo?? Nchi hii inaendelea kuwa maskini kwa ajili ya kuwa na watu kama wewe!! Wehu mtupu umewajaa vichwani, sijui ni muajiriwa wa chama tawala wewe au ugali wako unategemea chama tawala kama ilivo kwa baadhi ya watu humu..
 
Back
Top Bottom