Kweli kabisa Mubarak alikuwa anamuandaa Gamal huku Kikwete akimwandaa Ridhwani imekula kwao ndoto zinaeyuka.They share a common interest and that is KUCHAKACHUA! Inawezekana pia walikuwa wanapeana uzoefu jinsi kila mmoja wao anavyomshirikisha mwanae kwa nguvu katika siasa za nchi ili kulinda maslahi yake binafsi.
Marafiki wengine hawa...wana incite violence sasa wako Mahakamani