Waandishi wetu wa habari wamepauka kweli...

Na watangazaji jeeee,wakina kibonde meno yale nusu yadondoke akitoa povu ili akubalike
 
huenda tukianza kulipia king'amuzi, wataanza kutakata

Mkuu unataka wanone kwa mishahara gani inayolipwa kwenye nchi hii? au mwenzetu una mahali unafisadi? Maana mafisadi na wezi ndio wenye jeuri unayoionyesha!1
 
huyu wa mlimani tv! atakuwa anategemea board ya mikopo huyu! daaah! nyatega bana!
 
Back
Top Bottom