Waandishi wa ITV wanusurika kifo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,933
22,092
Waandishi wa habari wa itv wamenusurika kifo baada ya gari lao kuangukiwa na wire wa umeme ktika barabara ya oceanroad.wakiongea kwa uwoga mwandishi mmoja aitwaye rehema anasema alikuwa katika pita pita kutafuta habari..waliokuwa nyuma yao wanasema wakati wakikaribia wakaona nguzo inaanguka polepole kulekea kwenye gari la waandishi ndipo mmoja wetu akawahi kuwajulisha wakakimbia so ilipodondoka walikuwa wameshakimbia...du yule dada yuko fit utasema
fILBERT bayi alinukuu kaka mmoja....

Kwa kweli ni neema ya mungu,mungu aendelee kuwapa neema yake waendelee kuishi milele na milele
polen wote mliokumbwa na tukio hili
 
To test the SWEETNESS of LIFE, you must have the POWER to FORGET the past

amen
 
Waandishi wa habari wa itv wamenusurika kifo baada ya gari lao kuangukiwa na wire wa umeme ktika barabara ya oceanroad.wakiongea kwa uwoga mwandishi mmoja aitwaye rehema anasema alikuwa katika pita pita kutafuta habari..waliokuwa nyuma yao wanasema wakati wakikaribia wakaona nguzo inaanguka polepole kulekea kwenye gari la waandishi ndipo mmoja wetu akawahi kuwajulisha wakakimbia so ilipodondoka walikuwa wameshakimbia...du yule dada yuko fit utasema
fILBERT bayi alinukuu kaka mmoja....

Kwa kweli ni neema ya mungu,mungu aendelee kuwapa neema yake waendelee kuishi milele na milele
polen wote mliokumbwa na tukio hili

Poleni sana.

Kama wewe na wanzako ni wauumini wa dini yoyote basi katoeni sadaka kwa mola wenu haraka. Ni watu wachache wanaopata nafasi ya kukumbushwa kuwa hatujui saa wala dakika ambayo Mungu ataamua kupitisha maamuzi yake makuu juu yetu. Mshukuruni Mungu kwani ndiye anayepanga kila kitu. Ila hii ni wake up call kwamba muweze kumtanguliza Mungu katika mambo yenu yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom