Waandishi wa ITV na TBC Arusha wanatumika kisiasa na CHADEMA

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,060
459
Wadau nawasalimu,

Ni muda sijaingia humu na leo nimeamua kulileta humu JF kutokana na kile kinachofanywa na hawa waandishi Wa habari Wa ITV na TBC Wa mkoani arusha mjini kutumiwa kisiasa na wao kutumika pasipo kujua wanatumika.

Mosi nimesema hayo kutokana na malalamiko niliyoyapata toka kwa mdau mmoja Wa mtandao Wa maendeleo Wa vijana Wa Meru ambao waliwaita ili kuja kuurusha hewanii katika vyombo vyao vya habari na moja Ya malengo Ya kikao hicho ni kuiambia Tanzania husani kijana Wa meru kuhusu fursa za kiuchumi zinazopatikana hapo Meru na kuzitumia vema kujikwamua.

Mara baada ya waandishi hawa Wa ITV Asiraji mvungi Wa ITV na yule Wa TBC kulipwa Pesa zao kwa kurusha tukio hilo hewani siku inayofuata hawakufanya hivyo na huku wamechukua laki moja kwa kila chombo, na kwa taarifa za interlenjisia ya mtandao huo kuna viongozi Wa chadema waliwanunua kwa dau kubwa na kuzima matukio yote waliyorekodi na sababu zao za kijinga kuwa mtandao huo unadhaminiwa na ccm.

Nimesikitishwa sana na waandishi hawa makanjanja na ninaomba uongozi Wa juu Wa ITV na TBC kuwachukulia hatua kali sana.

Nawasilisha.
 
Mkuu...kwanza huna uhakik umeambiwa tu!!...pili ni TBCCM inaweza kutumiw na CDM au we mwenzetu ni mgen inchin???....km ulivokuw umesema mwanzo,rudi hukohuko ulikokuwa coz hjajipanga au ndo kimuhemuhe ch kupost naww usomwe??....nahic ww ni gamba...polee
 
sasa hapa ndio yupo Mengi? peleka ofisi zao huko huko, tupo bize na kujiuliza zakhia meghji alipigia kura zanzibar wakati yeye kaingia kupitia bara, kashililah anaweweseka tu, sitta kakaa kimyaaa, achelewi kusema ni wajinga hao.
 
Walisha wanunua wamewanunua wataendelea kuwanunua waandish waroho ila inchi hii wataikabidhi Kwa wakat nguvu tunazo na nia tunayo na mwenyezi yuko upande wetu hatuogopi maana uoga nidhambi kubwa sanaaa
 
wadau nawasalimu.

ni muda sijaingia humu na leo nimeamua kulileta humu jf kutokana na kile kinachofanywa na hawa waandishi Wa habari Wa ITV na TBC Wa mkoani arusha mjini kutumiwa kisiasa na wao kutumika pasipo kujua wanatumika.

mosi nimesema hayo kutokana na malalamiko niliyoyapata toka kwa mdau mmoja Wa mtandao Wa maendeleo Wa vijana Wa Meru ambao waliwaita ili kuja kuurusha hewanii katika vyombo vyao vya habari na moja Ya malengo Ya kikao hicho ni kuiambia Tanzania husani kijana Wa meru kuhusu fursa za kiuchumi zinazopatikana hapo Meru na kuzitumia vema kujikwamua.

Mara baada ya waandishi hawa Wa ITV Asiraji mvungi Wa ITV na yule Wa TBC kulipwa Pesa zao kwa kurusha tukio hilo hewani siku inayofuata hawakufanya hivyo na huku wamechukua laki moja kwa kila chombo, na kwa taarifa za interlenjisia ya mtandao huo kuna viongozi Wa chadema waliwanunua kwa dau kubwa na kuzima matukio yote waliyorekodi na sababu zao za kijinga kuwa mtandao huo unadhaminiwa na ccm.

nimesikitishwa sana na waandishi hawa makanjanja na ninaomba uongozi Wa juu Wa ITV na TBC kuwachukulia hatua kali sana.

nawasilisha.

Mkuu Mmaranguoriginal pole sana kwani hiyo habari ilikuwa Na madhara gani kwa viongozi wa chadema? Msalimie Mzee John Palangyo
Swali Mkuu kwenye vikao vya CCM wahandishi huwa mnawalimnawalipa 100,000/ per coverage? kwanini mnalipa habari?Au ndo pesa za Insurance hazina Mwenyewe?
 
mkuu kombajr, nashukuru sana ila hawa waandishi walipewa 100,000 kama gharama za kurekodi na kurusha hilo tukio kutokana na umbali Wa kwenda na kurudi. kuhusu hicho kikao hakikuwa cha ccm Bali cha huo mtandao Wa vijana ambao hawana itikadi ya vyama,sasa hawa waandishi pamoja na kulipwa Pesa wakapiga kimya na habari hiyo. salamu zimefika kwa John d. Pallangyo juzi nilikuwa naye kwenye harambee ya ujenzi Wa kanisa la Samaria amechangia milioni13.
 
mleta mada wewe ni CCM acha unazi wako na kukurupuka kusema mambo
 
Wadau nawasalimu,

Ni muda sijaingia humu na leo nimeamua kulileta humu jf kutokana na kile kinachofanywa na hawa waandishi Wa habari Wa ITV na TBC Wa mkoani arusha mjini kutumiwa kisiasa na wao kutumika pasipo kujua wanatumika.

Mosi nimesema hayo kutokana na malalamiko niliyoyapata toka kwa mdau mmoja Wa mtandao Wa maendeleo Wa vijana Wa Meru ambao waliwaita ili kuja kuurusha hewanii katika vyombo vyao vya habari na moja Ya malengo Ya kikao hicho ni kuiambia Tanzania husani kijana Wa meru kuhusu fursa za kiuchumi zinazopatikana hapo Meru na kuzitumia vema kujikwamua.

Mara baada ya waandishi hawa Wa ITV Asiraji mvungi Wa ITV na yule Wa TBC kulipwa Pesa zao kwa kurusha tukio hilo hewani siku inayofuata hawakufanya hivyo na huku wamechukua laki moja kwa kila chombo, na kwa taarifa za interlenjisia ya mtandao huo kuna viongozi Wa chadema waliwanunua kwa dau kubwa na kuzima matukio yote waliyorekodi na sababu zao za kijinga kuwa mtandao huo unadhaminiwa na ccm.

Nimesikitishwa sana na waandishi hawa makanjanja na ninaomba uongozi Wa juu Wa ITV na TBC kuwachukulia hatua kali sana.

Nawasilisha.
Huu ni uharo na wala sio uzi wakuleta huku
 
Kwanini mtu unajitokea huko na kupost mavi humu kujaza server tu? Hii haina hadhi ya kuwa thread humu..ni ufala huu.
 
mkuu kombajr, nashukuru sana ila hawa waandishi walipewa 100,000 kama gharama za kurekodi na kurusha hilo tukio kutokana na umbali Wa kwenda na kurudi. kuhusu hicho kikao hakikuwa cha ccm Bali cha huo mtandao Wa vijana ambao hawana itikadi ya vyama,sasa hawa waandishi pamoja na kulipwa Pesa wakapiga kimya na habari hiyo. salamu zimefika kwa John d. Pallangyo juzi nilikuwa naye kwenye harambee ya ujenzi Wa kanisa la Samaria amechangia milioni13.

Mkuu MmaranguOriginal Hofu yangu John D yasije kumpata ya Shilya alichangia sana Harambee hakuna kanisa au shughuli ambayo ilifanyika meru Shilya asihudhurie na kuchangia ila Mwisho wake :peep:
 
Back
Top Bottom