Waandishi wa habari za michezo na wazee wa yanga

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Waandishi wa habari za michezo wa bongo ni kikwazo kimojawapo cha maendeleo ya michezo Tz.Ingawa siukubali utawala wa nchunga,nimeshanga wanavotoa airtime kwa ajili ya mipasho ya wazee wa yanga,eti kisa wanataka madaraka wakati hawana sifa na mantiki ya kuchukua timu zaidi ya kuzidisha migogoro tu.Nchunga amechaguliwa kwa utaratibu maalum na lazima aondolewe kwa utaratibu wa kiutawala kwa kukabizi timu kwa wanachama waliomchagua,sio kama sokoni ilikuvokuwa enzi zao.Siku hizi Vilabu ni taasisi rasmi,zenye utaratibu unaojulikana,sio kupeana timu kama kugongeana sigara bar vile,waandishi wafukuzeni watu washari kama hao kwa faida ya michezo
 
Back
Top Bottom