Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Juzi niliokuwa nasikiliza Cloud Ifm jioni ktk kipindi maalum nilimsikia mtangazaji anaeitwa Kibonde akiponda sana wandishi wa habari hasa walaivyokuwa wanaripoti matukio ya siasa hasa yale ya Arusha na Polisi.
kwamfano
"Assalam Alikum, hawa waandishi wa habari wanataka sifa? wanataka nini Tanzania? hawaoni wenzao rwanda walivyosababisha mauji huko"
"Assalam Alakum. Eti gazeti hili limeandika, Polisi yakiri kuua", Hili limeandika Chadema latikisa taifa ,"haya ndio watz wanayataka?"
"waaandishi wanataka nini? hawajui kazi yao" huku azidi kunukuu magazeti yaliomchefua.kwanini wasiendike Kilimo kwanza, Elimu na matibabu? aliendelea kushua tuhuma kwa waandishi wetu wa habari
Pumba