Waandishi wa habari ni Kama mbao za Matangazo by Mwlm Lwaitama.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Vichwa vya habari vya Magazeti.

majira>sina ubaya na lowasa.
Habari leo>Sumaye alia na rushwa.
Mtanzania Daima>amgwaya lowasa
Uhuru>Atema cheche
Nipashe>aivua nguo CCM

Mwananchi>Sumaye simwogopi lowasa.
Haya ndo yale yalitamkwa na Mwl lwaitama,Waandishi hawana uwezo wa kuzama na kuichambua habari kwa kina.
 
Baada ya press conference kila mwandishi aliondoka na bahasha yake ya khaki ....
 
Hilo ndiyo tatizo kubwa la waandishi wetu. kuna mwanahabari mmoja alinitonya kwa kusema wengi hawana ajira rasmi hivyo akiwasilisha kitu sensational analipwa vizuri na ndiyo maana kuna wengine wananunuliwa na wanasiasa[ili wale mara2] na wengine wanafikiria matumbo yao na ndiyo maana habari nyingi ni kama za udaku fulani. Kwa bahati mbaya wameambukiza hadi wasomaji kupenda kuamini mambo mengine ambayo hata kwa akili ya kawaida haikubaliki
 
Wamekua wa kuitwa na kuandika tu,bila kufanya uchunguz wa habari.
 
Back
Top Bottom