Waandishi wa habari kuweni makini

Status
Not open for further replies.

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Jamani waandishi wa habari inatakiwa muwe makini kidogo maana nyinyi ni kioo cha jamii. Kuna huyu mwandishi wa habari Anaitwa Audax Mtiganzi alifanya kituko hiki wakati akiwa katika msafara wa waziri wa maji ambaye alikwenda kutembelea mkoa wa Kagera na akiwa katika msafara alivua nguo kama anavyoonekana katika picha hii. Hiki si kitendo cha kiungwana hasa ikichukuliwa kwamba msafara kama huo huwa na watu wa heshima.
Mimi si muandishi wa habari lakini sijui kama ethics za kazi za waandishi zinaruhusu mambo haya ya kihuni kufanyika.
Huyu bwana hakustahili kuvua karibu na watu namna hii.

_IGP5589 i.jpg
 
wewe jamaa umekwenda mbaaaali.....kosa liko wapi?
Hapo inavyoonekana alikuwa anafunga mkanda labda suruali yake ililegee......ulitaka afanye nini?

si unaona kayoka nje kidogo na kuja kujisetiri pembeni kidogo......
 
Yoyo waweza kulifanya hili wewe? hapo ni mbali? nambie umbali huo umekujaje? je waweza kutoka nyumbani bila kujiweka sawa wende kufanya hilo kwenye public eyes?
 
mkuu mpaka kufika hapo nia uhakika suruali yake ilikuwa vema.....kuna uwezekano zipu ilileta tatizo au mkanda........si vizuri kumhukumu kwa kujisetiri.....
 
Huyu jamaa inaonekana hakuwa na jinsi. Na hicho kilichomsibu hadi akafanya alilofanya linaweza kumsibu mtu mwenye profession yoyote (including wandishi wa habari).
 
Jamani waandishi wa habari inatakiwa muwe makini kidogo maana nyinyi ni kioo cha jamii. Kuna huyu mwandishi wa habari Anaitwa Audax Mtiganzi alifanya kituko hiki wakati akiwa katika msafara wa waziri wa maji ambaye alikwenda kutembelea mkoa wa Kagera na akiwa katika msafara alivua nguo kama anavyoonekana katika picha hii. Hiki si kitendo cha kiungwana hasa ikichukuliwa kwamba msafara kama huo huwa na watu wa heshima.

View attachment 3714

Kaka, alivua nguo au alipandisha fulana?! Hii picha si makosa hata kuangaliwa na watoto.

Na ni nani hao ambao si watu wa heshima?
 
Last edited:

Neemah nimekuelewa na nimeliacha suala hili tayari maana wengi wamechangia kuwa hakukosea nami naungana nao. Ila mimi ni dada si Kaka Asante.
 
Naungana na waliochangia. Ila pia nimefurahi kusikia Mchukia Fisadi ni bibie. Huwezi amini jinsi mabinti wanavyowapenda mafisadi, si unajua tena wanavyowajengea nyumba na kuwanunulia vigari.
 
Im off siwezi kuchangia TOPIC kama hii hata siku moja kosa hapo liko wapi??Unaweza kueleza kwa kirfu zaidi makosa gani kafanya huyo jamaa??Maana suruali imekaa vibaya ikabidi acheck mkanda wake aurekebishe sasa ulitaka nguo imvuke abaki uchi??Acha mambo ya kiswahili mkuu lete mada zenye maana tujadili!!
 
Nimeshai drop hii thread kwa kuomba yaishe maana yawezekana mimi nimekosea right?
Mod unaweza kufunga huu mjadala. Naona auna mshiko.
 
Neemah nimekuelewa na nimeliacha suala hili tayari maana wengi wamechangia kuwa hakukosea nami naungana nao. Ila mimi ni dada si Kaka Asante.
DADA HERI UMEKUBARI.Otherwise nakuona wewe fisadi na sio mchukia fisadi.Maana Tanzania adui namba moja wa mwandishi wa habari ni fisadi!...
Au sio bajamani!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom