Waandishi wa habari jaribuni kuangalia heading zenu kwenye magazeti....

1. First Lady 1 Mimi NAKUPENDA SANA.
2. Nataka niwaambie hapa Tanzania taaluma ya Waandishi wa habari ni taaluma ambayo haina watu waliobobea katika fani hiyo. Ni watu waliofika Kidato cha 4 wakapata alama ya IV na hawakuwa na uelekeo matokeo yake wakaamua kwenda kwenye chuo kwa miezi mitatu na kisha wakashika kalamu na karatasi na kuvizia soda na sambusa pale Idara ya Habari Maelezo.

3. Nasema Taaluma hii haina wabobevu kwa sababu karibu 97% ni wanaonukuu kile kilichosemwa utaona wanaandika hivi:

"alisema, akasema, aliongeza, alendelea kusisitiza, akashauri, akahimiza, akaongeza n.k"

Wewe siku wakicheza simba na Yanga nunua magazeti ya siku inayofuta yote na angalia ukurasa wa Michezo utaona wanaadika hivi:

"Timu zote zilianza Mchezo kwa taratibu huku kila timu ikimsoma mpinzani wake, hadi kipindi cha kwanza kinamalizika timu hizo zilikuwa suluhu, au hadi kipindi cha kwanza simba au yanga ilikuwa inaongoza kwa gori kadhaa."

Kipindi cha pili kilinza kwa Simba au Yanga kuelekeza mashambuliz langoni mwa Simba au Yanga. Iliwachukua Simba au Yanga Dakika 12 kuandika bao la kwanza"

Hao ndiyo waandishi wetu ambao hawana uwezo wa kusikiliza au kuona kitu na kutoa mawazo yao, wao kama waandishi wa Habari baada ya kusikia habari ya Mhe. Fulani sasa wanasemaje.
Tatizo leo mtu anamaliza kidato cha Nne anasoma Chuo cha Uandishi wa Habari miezi 4 kisha anakwenda kuandika habari za matukio ya wizi, uporaji, mahakamani, Mazingira, Masuala ya Utumishi. Wenzetu utakuta mtu anasomea Sheria na baada ya hapo anakuwa mwandishi wa habari za sheria anaandika alichokisikia mahakamani na anaweka uchambuzi wake kama mwanataaluma husika.

HAPA TZA kuna MAKANJANJA TU WACHIMBA CHUMVI - Wakina MKONO KINYWANI.

LAKINI FIRST LADY 1. NAKUPENDA HAKI YA NANI VILE. Hebu angalia ombi langu kama haujaolewa. Tuzumgumze.
 
Calling these imbeciles, unimaginatively vegetative, half sea urchin-brained broke echinoideas journalists is an insult to real journalists.
 
Back
Top Bottom