Waandishi wa BBC DSM ni mawakala wa CCM

The Stig

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,113
1,104
Inasikitisha jinsi waandishi wa BBC wanavyoacha ku-cover suala la mgomo wa madaktari. Vile vile, inasikitisha jinsi wanavyotumika kutangaza ushinda wa CCM hata kabla ya uchaguzi kufanyika.

Leo hii, manersi wa Kenya wamegoma. Tanzania wamegoma madaktari mpaka wa Cancer. Lakini ukisikiliza BBC, ni coverage ya Kenya tu. Inanifanya niamini kuwa waandishi wao DSM wamehongwa kulificha hili suala, au wameahidiwa kitu kwa utumishi wao kwa CCM
 
Hata mimi hili nimeliona.Inawezekana mafungu kutoka -london yamepunguzwa so wanajilipa kama kawaida ya baadhi ya waandishi wa bongo
 
huduma za afya zitaboreshwa,lingine?

Mtoto amefariki hospitali hakuna oxygen ambayo ingeokoa maisha yake, bora kugoma nikae nyumbani kuliko kwenda kuangalia wagonjwa wakifa sina namna ya kuwasaidia, nilikuwa sijagoma ila kwa hili Leo nimeanza mgomo rasmi
 
hii ndio hoja kubwa ambayo inasikitisha inavyofichwa. Hakuna bajeti ya kutosha kuboresha huduma au kukidhi mahitaji ya msingi ya hospitali, hakuna vifaa. Mie niliwaki kuona mama akipoteza mtoto njiani tukiwa tumetoa msaada kumpeleka referal hosp kwa kuwa hakukuwa na gloves size ya daktari mkuu wa kituo!! Imagine tulipishana na gari linalotoka wilayani kupeleka supplies pale kituoni.
Huu uzembe mkubwa unaoachwa hadi unakomaa kwa kushindwa kuwawajibisha wahusika,
 
Mtoto amefariki hospitali hakuna oxygen ambayo ingeokoa maisha yake, bora kugoma nikae nyumbani kuliko kwenda kuangalia wagonjwa wakifa sina namna ya kuwasaidia, nilikuwa sijagoma ila kwa hili Leo nimeanza mgomo rasmi

inauma sana.Hivi hawaelewi kuwa mgomo wa madaktari ni kwa manufaa ya wagonjwa,ni kweli kabisa kuwa madaktari wanafanya kazi katika mazingira magumu sana.,Usingizi mwema mkuu,bora upumzike
 
Inasikitisha jinsi waandishi wa BBC wanavyoacha ku-cover suala la mgomo wa madaktari. Vile vile, inasikitisha jinsi wanavyotumika kutangaza ushinda wa CCM hata kabla ya uchaguzi kufanyika.

Leo hii, manersi wa Kenya wamegoma. Tanzania wamegoma madaktari mpaka wa Cancer. Lakini ukisikiliza BBC, ni coverage ya Kenya tu. Inanifanya niamini kuwa waandishi wao DSM wamehongwa kulificha hili suala, au wameahidiwa kitu kwa utumishi wao kwa CCM

Wamepigwa mpunga hawa, redio nyingi bongo wamezuiwa kutangaza kabisa
 
Inasikitisha jinsi waandishi wa BBC wanavyoacha ku-cover suala la mgomo wa madaktari. Vile vile, inasikitisha jinsi wanavyotumika kutangaza ushinda wa CCM hata kabla ya uchaguzi kufanyika.

Leo hii, manersi wa Kenya wamegoma. Tanzania wamegoma madaktari mpaka wa Cancer. Lakini ukisikiliza BBC, ni coverage ya Kenya tu. Inanifanya niamini kuwa waandishi wao DSM wamehongwa kulificha hili suala, au wameahidiwa kitu kwa utumishi wao kwa CCM

Makanjanja
 
BBC Tz ni kama TBC....ni wazi kuna mkono wa mtu,uitaji kuwa Prof kugundua hili,elimu ya darasa la nne inatosha kabisa.
 
Jana saa saba mchana nilipokuwa kwenye daladala nilisikia kama vile walikuwa wakilizungumzia japo kwa nyodo nyingi kama vile Mp Pinda anavyoongeaga kwa nyoda utafikiri lishuga mamy fulani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom