waandishi toeni tamko kupinga ubabaishaji wa kamati ya nchimbi.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
nawaombeni sana waandishi wa habari kulichukulia hili swala la kamati ya nchimbi kutaka kufunika ukweli
mlichukulie kwa uzito unaostahili lazima kuandamana na kulaani kauli ya kamati ya nchimbi kwani bila hivyo
msubiri kuweni tayari kushangaa tena mahakama itakavyotoa hukumu inayofanana na ripoti ya tume hii.

kusema kuwa polisi haikuhusika mojamoja na mahuaji hayo ni matusi makubwa na tusi kubwa zaidi ni kusikia
kuwa waandishi walikuwepo katika kamati hii nao wakabariki kummaliza mwangosi kwa mara ya pili jamani
dunia na wapenda amani wote lazima walaani uhuni huu unaofanywa na serikali hii ya kikwete.
 
Hili li Nchimbi si ndiyo lililoghushi PhD na baadaye kujifanya limeipata SUA? Mitoto ya mifisadi utaijua. Eti nalo linaota kuwa rais wa Tanzania. Nani alichague jitu la hovyo kama hili?
 
Back
Top Bottom