Waandishi kwa hili mmepotoka kama nikweli!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Waandishi mmetudhalilisha kama mlifanya hili milipotoka yapaswa muwaombe radhi wa Tanzania!Habari zilizopo nikwamba mlishindwakumpiga picha fisadi la Dowans Mliwekea shariti kuingia kwenye hotel aliyofikia mliambiwa mchukue Bahasha na muache kamera zenu gatini papoja na simu!!!tena kwakudhalilishwa mlisachiwa ndiyo maana hamkuwa na picha ya fisadi!! Je mnalo lakutwambia! Watanzania???Kwa fedhea hii!!
 
Achana nao ,ni wapuuzi,wazandiki,magumegume,wajinga,yani na majina yote,yani inakera iujue,yani adui yako anakuja unaambiwa usimshambulie na wewe unakaa tuli ,hiyo kitu ni mbaya na wala haipendezi na inavyoonekana wamepokea hela uchwara na kuamua kuacha kufanya kazi yao ipasavyo,yani sure nimedharau waandishi wa habari wote na ngoja niwatusi ****** yao....
 
Ukweli ni kwamba si wahariri wote walioalikwa ktk mkutano huo. Wapo ambao wangekuwa na uwezo wa kukataa masharti haya lakini hawajawakaribisha. Na tukumbuke si waandishi walioalikwa bali wahariri - jambo linalosikitisha zaidi!
 
Waandishi mmetudhalilisha kama mlifanya hili milipotoka yapaswa muwaombe radhi wa Tanzania!Habari zilizopo nikwamba mlishindwakumpiga picha fisadi la Dowans Mliwekea shariti kuingia kwenye hotel aliyofikia mliambiwa mchukue Bahasha na muache kamera zenu gatini papoja na simu!!!tena kwakudhalilishwa mlisachiwa ndiyo maana hamkuwa na picha ya fisadi!! Je mnalo lakutwambia! Watanzania???Kwa fedhea hii!!

Ufisadi wake ni upi?
 
Honestly hawa waandishi wetu sina hamu, nazidi kuamini kuwa ilikuwa rahisi kwao kununuliwa wakati wa kampeni na mafisadi! BAADHI!
 
Ukweli ni kwamba si wahariri wote walioalikwa ktk mkutano huo. Wapo ambao wangekuwa na uwezo wa kukataa masharti haya lakini hawajawakaribisha. Na tukumbuke si waandishi walioalikwa bali wahariri - jambo linalosikitisha zaidi!
...Hata Mhariri ni mwandishi wa habari na ndio maana huyo jamaa alitaka kukutana nao na habari tukazipata kuwa aligoma asipigwe picha ingekuwa walioalikwa si waandishi eti ni wahariri hizi habari tusingezipata. Tena hao wahariri ndio wameonyesha udhaifu sana kwani huwa inaaminika kuwa wahariri ni waandishi wa ngazi ya juu na ni werevu sana si rahisi kushawishiwa kirahisi....Njaa tu bongo kama kawa...:hand:
 
Kumbe kazi yao ni kushambulia kashifa za watu wengine sasa leo nao wameumbuka. Hata mimi haikuniingia akilini, ina maana lazima kulikuwa na masharti fulani ambayo kitaaluma yamewadhalilisha. Kweli waandishi hawa habari za uchunguzi wataweza kuandika kweli?
 
Ni uchuro kichwa cha habari cha gazeti kuwa na kichwa cha habari "...Agoma kupigwa picha" Kwenye nchi yetu...hii ina maana gani kwenye taaluma ya uana habari?
 
Wenye kutambua magazeti yaliyoalikwa kukutana na "mwekezaji" wetu watujuze.
Ila kwa kuanzia naweza bet wafuatao waliwakilishwa:
- Mtanzania
- Habari leo/Daily News
- Uhuru

Nitasikitika kwenye orodha wakiwepo
- mwanahalisi
- raia mwema
- Tz daima
- mwananchi
 
Mwanachi walikuwepo the citizen nao walikuwepo Tanzania Daima walikuwepo ukweli kwa hili sitaacha kusema wa andishi na wahariri mmetukwaza inabidi mtuombe samahani hata humu kwenye jf!
 
Mwanachi walikuwepo the citizen nao walikuwepo Tanzania Daima walikuwepo ukweli kwa hili sitaacha kusema wa andishi na wahariri mmetukwaza inabidi mtuombe samahani hata humu kwenye jf!

Siriaz kabisa watuombe msamaha kwa hili.

Mhariri wa mwananchi kweli nawe ulifumbwa macho kwa bahasha ya kaki??
Milipozima simu na kemera zenu hata akili na mioyo yenu ikazima??

Kwenye hili tokeni kiungwana na kuomba msamaha nje ya hapo hata kama mtatusahaulisha kwa story zingine bado usaliti huu utawawinda siku za usoni.
 
Kama baba kama mwana watanzania hatuna kawaida ya kuwajibika siunaona viongozi wapo wamekomaa ijekuwa pangupakavi!!kasema nani??
 
Back
Top Bottom