Waandishi Kugomea Habari Za Kipolisi; Naomba Nichangie Haya...

Watu wakipata matatizo wengine hawapati nafasi kujiweka kwenye nafasi ili wahisi maumivu wenzao wanayoyapata.
Waandishi wa habari ni kama
senene.Ukikamata senene ukawawaweka kwenye mfuko
huanza kung'atana badala ya ku
shirikiana kungata mfuko ili
wakimbie.
Wawaite bodaboda wawape semina jinsi ya kushirikiana.

Ha ha ha eti wawaite bodaboda teh teh teh
 
Back
Top Bottom