Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

Wapi Eddo Kumwembe au mtoa mada umemaanisha wengine wapi mzee makengeza mabala,wapi mchambuzi Julius Mtatiro,why negate the best listing
 
Bila Wilson Kaigarula na Mbwambo na kwa kumuweka Issa Michuzi ambaye sio mwandishi wa habari hii list inakosa ladha.

Tiba
 
Issa Michuzi? Hapana, ile blog ni waandishi mbalimbali wanatupia ni vigumu kupata contribution yake yake tu!

Utafiti wako una limitations zilizokufanya matokeo uliyopata yakawa tofauti na mwingine anayefata utafiti kama huo katika same topic
 
List nzima ni nzuri ila Michuzi amekaa pahala pasipokuwa pake kuna waandishi wenye sifa za kuwa hapo kutokana na weledi wa habari zao. Mfano mzuri ni Justus Mwigulubi wa Mwanahalisi.
 
Mimi nanunua raia mwema kwa ajili ya johnson mbwambo
he is no 1 to me

halafu huyo msomaji raia mwema hana jina?sio jenerali

Johnson Mbwambo baada ya uchaguzi mkuu alipotea kabisa sijui kwanini; nadhani it was tactical kwani alifanya kazi kubwa sana kuliepusha taifa kutoka kuweza kuangukia kwa mafisadi papa!!He is my favourite; of late sijanunua Raia Mwema sijui kama anaendelea na column yake?
 
Back
Top Bottom