Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

Muhidin Issa Michuzi kwa uchunguzi wangu wa kina amesoma TSJ 2004-2006 na alikuwa mwanafunzi bora wa somo la photojournalism awamu hiyo na mwanafunzi bora wa pili kiujumla katika darasa hilo aliloongoza Amabilis Batamula ambaye sasa ni Mhariri wa Majarida ya FEMINA. Issa Michuzi - Wikipedia, the free encyclopedia

No research no right to speak:msela:

hoja hapo si wanafunzi bora wa vyuo, Ni waandishi bora Tanzania.
 
Mbona hakuna hata mmoja toka Uhuru mnafanya upendeleo jamani twaomba na sisi mtukumbuke kwenye hiyo list Juhudi zetu zote za kuwasema CDM kumbe ni bure haya bwana.
 
Michuzi ni mpuga debe wa mafisadi na sio mwandishi. eti anajiita mpiganaji ??? mara kapiga picha ubalozi fulani, mara hafla fulani ya kifisadi. siku ile ya mgomo wa madereva wa mabasi blog yake haikua na picha za lile tukio mpaka lilipokwisha ndio kampiga picha fisadi Kabaka G. Utamuona anauza sura washington, au London lkn hutomwona Buguruni au Mantheysay
 
Umesahau mwandishi mmoja wa habari na udini na uchochezi... FaizaFOXY
 
Michuzi big NOO.. hapo alipaswa kuingizwa Jabir Idrissa wa Mwanahalisi na Pascally Mayega wa Tanzania Daima.
Narudia tena indoa Michuzi uyo ni photographer.
 
Pamoja na kuandika kwao bado inaonekana kama Tz haina mwandishi Wa habari hata mmoja kwasababu hajatokea wa kuandika akasaidia jamii ikabadilika kimtizamo,zaidi zaidi Taifa linaonekana halina dira wala uelekeo,na wananchi wapowapo tu mfano mzuri ni hii taharifa ya CAG pesa zote zimepigwa ila raia wanaendelea na maisha kama jana,kana kwamba hapana hitilafu yoyote
 
Nafasi ya 24 ambayo ni issa michuzi sio kweli hii ni nafasi ya JUSTUS MWINGULUBI Mwanahalisi

Kweli kabisa Mwandishi Joster Ramadhani Mwangulubi mmemsahau! Ni mwandishi mahiri na makala zake mujarabu kabisa kutoka Mwanahalisi hadi sasa! Anatakiwa apewe tuzo!
 
Acheni roho mbaya mbona cc wa Uhuru media hatumo au kwa sababu tunainanga sana ukawa?sawatu maisha yanaendelea hata kama tunapata buku saba
 
Nilipo ona jina la jenerari niliguna nikasema labda wapo wanaopendezwa na habari zake nyepesi.
 
Kwakuwa NYARONJO KICHEELE Hajatajwa katika utafiti huu ninaamini ilikuwa kazi ya mezani tu,
 
Nimekuwa nafanya uchunguzi kwa mwaka wa 5 sasa juu ya waandishi wa kitanzania wenye ushawishi kwa wananchi, uchunguzi nimeufanya kwenye vyuo vikuu, mikoani, mijini, kwenye nyumba za ibada, vyama vya siasa na vijijini nikishirikiana na team ya watafiti wa maswala ya kisiasa wa chama cha Republican cha Marekani na wafuatao ni waandishi wanaokubalika sana miongoni mwa watanzania tena habari zao zinapendwa sana............
1.Jenerali Ulimwengu( gazeti la Rai zamani na kwa sasa Raia Mwema pia ni mchangiaji kwenye The East African la kenya)
2.Mwanakijiji(Mwanahalisi, Tanzania Daima na mitandaoni)
3.Lula Wa Ndali Mwana Nzela(Raia Mwema)
4.Saed Kubenea(Mwanahalisi)
5.Ansbert Ngurumo(Tanzania Daima)
6.Evarist Chahali(Raia Mwema na www.chahali.com)
7.Ojuku Abraham(Dira kwa sasa)
8.Msomaji Raia(Raia Mwema)
9.Johnson Mbwambo(Raia Mwema)
10.Kondo Tutindaga(Mwanahalisi na Kwanza jamii)
11,Fr Privatus Karugendo(Raia Mwema)
12.Nova Kambota(zamani Dira kwasasa mtandaoni www.novakambota.com)
13.Dismass Lyassa(Mwananchi na mkurugenzi Global Source Watch GSW ubungo)
14.Kinabo(Tanzania Daima)
15.Samson Mwigamba(Tanzania Daima)
16.Fredrick Katulanda(Mwananchi)
17.William Shao(Majira na mwandishi wa "Miaka 2000 ya ukristo historia iliyopotoshwa)
18.Godfrey Dilunga(Raia Mwema)
19.Maggid Mjengwa(Raia Mwema na mtandaoni MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo)
20.Ndimara Tegambwage(Mwanahalisi na mtandaoni uhuru hauna kikomo )
21.Nkwazi Nkwabi(Dira na mtandaoni )
22.Marehemu Adam Lusekelo(Daily News with the light touch na mtandaoni)
23.Freddy Macha(Mwananchi, The Citizen na mtandaoni Freddy Macha)
24.Issa Michuzi(mtandaoni www.issamichuzi.blogspot.com)
25.Bubelwa Bandio(mtangazaji voice of America na mtandaoni "The Way You See The Problem Is The Problem")

HAWA NDIYO WAANDISHI 25 WA KITANZANIA WENYE USHAWISHI MKUBWA SANA KWA WANANCHI NA MWISHO WA UTAFITI WETU TULISHAURI TAASISI MBALIMBALI ZIWATUMIE WATU HAWA KWENYE KUHIMIZA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAENDELEO MFANO KILIMO KWANZA, ELIMU NA KATIBA MPYA......NI HAYO TU WADAU , IWAPO UNA MAONI USISITE KUNIANDIKIA KWENDA kiwalanikwagude@rocketmaail.com
Bila Mwalimu mkuu
gideon Shoo
prudence karugendo
Manyerere Jacton
 
Kaka Manyerere Jackton na yule anaewapigia chapuo Waturuki hola!


Soma hapo chini kwenye red. Kwa taarifa yako nilikuwa mshindi wa Jumla wa Utalii na Uhifadhi. Kwangu mimi tuzo is nothing, isipokuwa manufaa wanayopata wananchi kwa utumishi wangu kwao. Sikuitaka kazi hii kwa ajili ya kushindanishwa. Waungwana wanapoona kuna jema, wananitambua wao wenyewe. Wamefanya hivyo Wamarekani, Afrika Kusini, Comoro na juzi juzi tu Spain. Hatujitangazi. Tumeacha watangaze wenyewe. Napenda ule wimbo wa acha kupiga mayowe, acha wayaone wenyewe. Nitahukumiwa na wasomaji, na si kina Kabwela.
The nominee are as follows;
LIST OF EJAT 2013 NOMINEES
SN
Name of Nominee
Medium
Region
1.
Sam Mahela
TV
Dar es Salaam
2.
Makiwa Jumanne
Radio
Mara
3.
Richard Mwaikenda
Print
Dar es Salaam
4.
Harith Jaha
Radio
Geita
5.
Polycarp Machira
Print
Dar es Salaam
6.
Juma Nugaz
TV
Dar es Salaam
7.
Rashid Mkwinda
Print
Mbeya
8.
Regina Kulindwa
Radio
Mwanza
9.
Peninah Kajura
Radio
Mwanza
10.
Dickson Ngh'ily
Print
Dar es Salaam
11.
Kalunde Jamal
Print
Dar es Salaam
12.
Florence Majani
Print
Dar es Salaam
13.
Abel Kilumbu
TV
Dar es Salaam
14.
Ashton Balaigwa
Print
Morogoro
15.
Sheila Sezzy
Print
Mwanza
16.
Secilia Ndabigeze
Radio
Mwanza
17.
Annuary Msechu
TV
Arusha
18.
Lekoko Ole Livilal
TV
Dar es Salaam
19.
Clara Patrick
Radio
Mwanza
20.
Anna Titus
Print
Dar es Salaam
21.
Gervaz Hubile
Radio
Dar es Salaam
22.
Grace Kiondo
Radio
Zanzibar
23.
Beldina Nyakeke
Print
Musoma
24.
Jamali Hashim
TV
Dar es Salaam
25.
Frank Leonard
Print
Iringa
26.
Kelvin Matandiko
Print
Dar es Salaam
27.
Noel Thomson
Radio
Mwanza
28.
Romana Mallya
Print
Dar es Salaam
29
Asraji Mvungi
TV
Arusha
30
Jackson Mwafulango
Radio
Mwanza
31
Gerald Malekela
Radio
Iringa
32
Mashaka Mgeta
Print
Dar es Salaam
33
Festo Sikagonamo
TV
Mbeya
34
Isakwisa Mwaifuge
TV
Dar es Salaam
35
Khadija Mussa
Print
Dar es Salaam
36
Emmanuel Michael
TV
Mwanza
37
Hawa Halifa Msangi
Radio
Kilimanjaro
38
Harieth Makweta
Print
Dar es Salaam
39.
Khadija Mzee
TV
Dar es Salaam
40.
Husna Mohammed
Print
Zanzibar
41.
Mwantanga Vuai
Print
Zanzibar
42.
Emmanuel Makundi
Radio
Dar es Salaam
43.
Reuben Kagaruki
Print
Dar es Salaam
44.
Rahma Ally
Print
Zanzibar
45.
Abdallah Majura
Radio
Dodoma
46.
Deogratius Macha
Radio
Arusha
47.
Zephania Ubwani
Print
Arusha
48.
Elias Msuya
Print
Dar es Salaam
49.
Richard Makore
Print
Dar es Salaam
50.
Freddy Azzah
Print
Dar es Salaam
51.
Paul Mabuga
TV
Mwanza
52.
Khamis Abdallah
Radio
Mwanza
53.
Peter Orwa
Print
Dar es Salaam
54.
Manyerere J. Nyerere
Print
Dar es Salaam
55.
Kisali Simba
TV
Mwanza
56.
Charles Urio
Radio
Mwanza
57.
Hilali Ruhundwa
Radio
Kagera
58.
John Bwire
Print
Dar es Salaam
59.
Grace Macha
Print
Arusha
60.
Raymond Nyamwihula
TV
Mwanza
61.
Jacquiline Masinde
Print
Geita
62.
Vedasto Msungu
TV
Kagera
63.
Mhidini Msamba
Print
Dar es Salaam
64.
Deus Bugaywa
Print
Dar es Salaam
65.
Bashir Nkoromo
Print
Dar es Salaam
66.
Gordon Kalulunga
Print
Mbeya
67.
Fidelis Felix
Print
Dar es Salaam
68.
Anthony Siame
Print
Dar es Salaam
69.
Dionis Moyo
Radio
Arusha
70.
Idd Juma Yusuph
Radio
Mwanza
71.
Abdul Kingo
Print
Dar es Salaam
72.
Athumani Mtulya
Print
Dar es Salaam
73.
Cassius Mdami
TV
Dar es Salaam
74.
Phinias Bashaya
Print
Kagera
75.
Mussa Juma
Print
Arusha
76.
Cuthbert Joseph
Radio
Mwanza
 
Back
Top Bottom