Waandika Biblia kwa kikwere

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
894
Wakristo wa kabila la Kikwere Jimbo la Chalinze, Wiliaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamezindua Biblia ilioandikwa kwa lugha yao ili jamii hiyo isome na kuelewa kirahisi maandiko ya Biblia. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika juzi mjini hapa, Mwenyekiti Samweli kondo alisema kuzinduliwa kwa biblia hiyo kutawasaidia walengwa kufahamu mafundisho yanayotolewa na viongozi wa dini na kuhishi katika maadili mema na kuepuka vitendo viovu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom