waamuzi na soka letu

ZEE BABA

Senior Member
Jan 19, 2011
169
59
Soka ndio mchezo wenye wapenzi wengi Tanzania na Duniani kwa ujumla,ili mchezo wa soka uwe wenye mvuto ni lazima sheria zinazouongoza mchezo huo zifuatwe.Waamuzi ni watu muhimu sana umuhimu wao naweza kuufananisha na chumvi kwenye mboga kwani bila kiungo hiki ladha hamna.
Soka la Tanzania linamatatizo mengi kuanzia chama kinachoongoza mchezo huu hadi vilabu ,lakini tatizo la waamuzi linatia kinyaa.Unaweza usizijue sawasawa sheria za soka lakini kwa waamuzi wa Tanzania haihitaji ujuzi huo kuyajua madudu yao.Natoa mfano wa waamuzi waliokuwa wanachezesha pambano la Yanga na Mtibwa jumatano ya Tarehe 8/2/2012 sijui TFF hawakuona? au hawakuwepo ? Kile ni kinyaa ,kama ni uchafu yale ni mavi au matapishi ya mlevi. Kwa kweli kiingilio changu kiliniuma hasa yule mwamuzi wa kike ,,,,,NAHISI KUTAPIKA
 
Back
Top Bottom