mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 471
kiama kinakuja
Taratibu tunakuja
At this pace? We'll definitely get there
We are Getting There
Kitu kimoja ambacho walimu wanapaswa kujifunza kutoka kwa madaktari ni kutoyumba wanaposema wanagoma. Walimu wanachezewaga na serikali kwa kua wanajulikana ni watu wa kutishia nyau na nidhamu yao ya uwoga.
Ilipaswa hapa ngoma inaunganishwa bila kujali maswala ya notisi ya siku 90 wala nini. Lakini wakina Mukoba bado hawajachelewa
Hivi jeshini kuna walimu wanajeshi? Maana tunaweza kuwahitaji muda si mrefu.
Na polisi wako njiani, kipenga hakijasikika. Kuna mmoja ameniambia amesikia fununufununu wanaongea chini chini. tusubiri.
Ni uupuzi tu kwa taarifa yenu nyie visonoko nchi itatawalika tu hata kwa ngumi... Wengi wenu humu mnapenda kuona migogoro na pale sululu inapopatikana hampendi mnasema waoga hao mara wametishiwa nyau wakakubali, hata hawa madaktari wakisitisha mgomo mtawasema vby!! Uzuri wote tupo kwenye meli 1 hatatoka mtu kwa yale mnayoyataka. Ni upole tu wa rais wetu ndo kisa WAJINGA kuongezeka kwenye nchi hii.
KAtika kile kinachoonekana kuchoshwa na longolongo za Serikali, waalimu 246 Wilayani Handeni wamegoma kuingia madarasani kufundisha na wameaapa mgomo unaendelea mpaka watakapolipwa stahiki zao. Hawa ni walimu wa wilaya mzima na leo wamevamia ofisi ya Halmashauri kutoa mwelekeo wao.
Kazi ipo mwaka huu
ndugu sitaki apa...kuna watu malikimbia umande kama prof majimarefu et all,alaf leo dr ulimboka alipwe lak9 na hawa jamaa wajipe posho!hapana!