Waalimu wanadai Mshahara -Ofisi ya Mkurugenzi Mtwara.

Nabwada

Senior Member
Apr 5, 2012
124
33
Kuna Waalimu wako Ofisi ya Ofisa Utumishi wanadai Mshahara.Mwenye data kamili aseme ni Mshahara wa mwezi gani wanaodai.
 
ina maana hii taarifa wewe umeiota au umeelezwa?mimi ninavyojua wewe ndo ilitakiwa utueleze coz ndo mwenye taarifa
 
Back
Top Bottom