Waalimu wa Tanzania mbona mna roho mbaya sana?

semako

Senior Member
Nov 10, 2011
102
6
Ukitaka kujua haya jiulize swali hili.Kwanini waalimu wengi mara wapandapo vyeo na kua maafisa ndio huwa mstari wa mbele kunyanyasa wenzao?baada ya muda mfupi tu anasahau kuwa anapaswa kuwahudumia wengine;Hebu acheni tabia mbaya ndio maana hata hamnenepi kwa sababu ya roho ya korosh.
 
mada kama hizi za kugeneralize watu hazipaswi kutumwa hapa JF
umefanya utafiti ukajua ni walimu wote? je wafanyakazi wengine wanaopanda vyeo hawanyanyasi?
hebu badilisha mada yako iweke vema kama great thinker.
 
nao ni upuuzi! Heshima taaluma za watu
 
Kama ni ukombozi walimu wangishafika mbali sana maana asilimia kubwa ya vigogo nchi hii kuanzia urais, mawazir kote wamatapakaa walim lakini hakuna mwenye kuwakumbuka,
hili lina ukweli mkubwa sana ndan yake
 
Ni kama wewe kabla hujanunua gari ulikuwa unapanda daladala na jirani zako. Ushanunua gari hutaki kuwapa lifti na ukipita umefunga vioo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom