Waalimu mmeona wenzenu Madaktari?(amkeni)

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
mtoto mwenye asipolia akiwa na njaa mama hawezi kujua km ana njaa,hivyo atampuuza tu.madaktari wamejua hili walilia wakapewa mfano Dr mwenye degree anaanza na mshahara basic wa laki 9 naa,wakati mwalimu ni laki 4 naa.bado wanalia pamoja na kuwa na posho tofauti na waalimu,ambao kila mara ni kutishia tu lakini hawalii.msipolia mtaendelea kuumia na kuumiza wanafunzi kwa mgomo baridi unaoendelea sasa hivi.Mkoba sijui kapewa nini?
 
Back
Top Bottom