WAajiri kugoma kupeleka fedha kwenye mifuko ya jamii

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Katika kizungumkuti kinachoendelea baina ya sheria mpya na wafanyakazi tutegemee makubwa kwani wadau wengi wa wanataka kususa kupeleka michango kwa miezi sita mpaka hatma itakapo patikana ona hii Uzalishaji ndani ya mgodi wa Bulyanhulu KMCL umesimama kabisa kuanzia jioni ya leo tar.01.08.12 kufuatia wafanyakazi kutaka mpaka wapatiwe ufafanuzi kuhusu mustakabali wa fedha zao walizochangia NSSF na PPF hali hiyo imeanza jana baada kikao kati ya mwakilishi kutoka SSRA na wafanyakazi kuvunjika hali hii imepelekea mwajiri kusimamisha uzalishajikwa saa 48 mpaka kieweke.Wakati huo huo makamu wa rais wa BARRICK duniani ameingia nchini kwa mazunguzo na serikali kuhusiana na sheria hii.
 
Back
Top Bottom