Waafrika Tupo Fiti Sana Basi tu..

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
<table style="width: 471px;" align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="width: 506px; padding-left: 7px; padding-right: 7px;"><table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">VIDEO - Waafrika Tupo Fiti Sana Basi tu..</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4364030.jpg

Sam Todo akilifanyia marekebisho robot lake</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top">
Kusema ukweli waafrika Mungu katujalia akili nyingi sana lakini hali zetu duni za kiuchumi ndizo siku zote zinazoturudisha nyuma siku zote.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Angalia video ya mwanafunzi huyu wa nchini Togo ambaye kwa kutumia vifaa toka kwenye televisheni mbovu ameweza kutengeneza robot kama yale ambayo makampuni ya nchini Japan yamekuwa yakifanya utafiti kuyaboresha.

Sam Todo ambaye ni mwanafunzi wa nchini Togo alitumia vifaa toka kwenye televisheni mbovu na vifaa vingine vya umeme kuweza kutengeneza robot ambalo linaweza kutembea na kupunga mikono kwa kutumia remote control.

Bila shaka kijana kama huyu kama angeweza kupata vifaa vya kisasa au angepata mfadhili wa kukuza kipaji chake angeweza kufanya mambo makubwa kuliko haya.

Angalia video yake chini.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

VIDEO - Waafrika Tupo Fiti Sana Basi tu..
<object height="385" width="480">


<embed src="http://www.youtube.com/v/sPIq4LbUODk&hl=en_US&fs=1&rel=0" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="385" width="480"></object>





</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="15"> <table style="width: 488px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td style="width: 429px;">
</td> <td style="width: 249px;"> http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=4364030&&Cat=2
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="30">
</td></tr></tbody></table>
 
Huyu sasa hivi wanamvuna! Wao wanaita Brain Harvesting lakini kwetu ni Brain washing! Hizi pesa jamani utafikiri Africa hatuhitaji Greater thinkers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom