Waafrika mbwembwe nyingiiiii mpira kidogo

smartuser

Member
Oct 4, 2011
12
0
nadhani wachezaji wa kiafrika wangewekeza juhudi zao katika soka kama wanavyokuwa busy na nywele na mapambo mengine usoni kama hereni na kujipaka rangi chini ya macho (Salomon Kalou), tungepata burdani inayostahili na soka ya afrika ingkuwa mbali sasa
 
Badala ya kufanya maandalizi ya kisoka wanajiandaa kamaa mamiss kwakujirembaremba na kusuka nywele kwa sana
 
Kalou amepaka wanja, khaa! Lakini mbona akiwa Chelsea huwa hajikwatui hivyo, au wakija Afrika wanakuja kwa mashindano ya urembo?
 
mmeshiba mapilau mnaongea ongea tu..mbona timiu yenu ya taifa hamuikosoi...hovyoooo
 
nadhani wachezaji wa kiafrika wangewekeza juhudi zao katika soka kama wanavyokuwa busy na nywele na mapambo mengine usoni kama hereni na kujipaka rangi chini ya macho (Salomon Kalou), tungepata burdani inayostahili na soka ya afrika ingkuwa mbali sasa

Dadako anajua kama unatumia vibaya laptop aliyehongwa na shemeji yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom