Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 492
- 180
kwani hajui kama cha mtu huliwa na mtu ila chuma tu ndio huliwa na kutu

Hebu niwaulize wana JF. Wewe ukiona wako wa zamani (ex) anatoka na mtu mwingine eti utajali? Kuna jamaa mmoja kwa kweli simwelewi. Sielewi kabisa mantiki yake na jinsi mchakato wake wa kufikiri ulivyo.
Eti huyu jamaa huwaga anamaindi aonapo wanawake aliowahi kutoka nao wana watu wengine. Eti kwa mtazamo wake hao ni mademu wake na iweje jamaa mwingine atoke nao.
Mimi nimeshindwa kabisa kumwelewa. Mtu ukishaachana na mpenzi wako na miaka ikapita bado utadai tu kuwa huyo mpenzi ni wako? Haiingii akilini kabisa. Mimi nilidhani mkishaachana ndo basi tena kila mtu anakuwa huru kutoka na yeyote yule ampendaye.
Huyo ana inferiority complex tu!! Nadhani ni very poor performer na anaogopa udhaifu wake utajulikanaHebu niwaulize wana JF. Wewe ukiona wako wa zamani (ex) anatoka na mtu mwingine eti utajali? Kuna jamaa mmoja kwa kweli simwelewi. Sielewi kabisa mantiki yake na jinsi mchakato wake wa kufikiri ulivyo.
Eti huyu jamaa huwaga anamaindi aonapo wanawake aliowahi kutoka nao wana watu wengine. Eti kwa mtazamo wake hao ni mademu wake na iweje jamaa mwingine atoke nao.
Mimi nimeshindwa kabisa kumwelewa. Mtu ukishaachana na mpenzi wako na miaka ikapita bado utadai tu kuwa huyo mpenzi ni wako? Haiingii akilini kabisa. Mimi nilidhani mkishaachana ndo basi tena kila mtu anakuwa huru kutoka na yeyote yule ampendaye.
Hebu niwaulize wana JF. Wewe ukiona wako wa zamani (ex) anatoka na mtu mwingine eti utajali? Kuna jamaa mmoja kwa kweli simwelewi. Sielewi kabisa mantiki yake na jinsi mchakato wake wa kufikiri ulivyo.
Eti huyu jamaa huwaga anamaindi aonapo wanawake aliowahi kutoka nao wana watu wengine. Eti kwa mtazamo wake hao ni mademu wake na iweje jamaa mwingine atoke nao.
Mimi nimeshindwa kabisa kumwelewa. Mtu ukishaachana na mpenzi wako na miaka ikapita bado utadai tu kuwa huyo mpenzi ni wako? Haiingii akilini kabisa. Mimi nilidhani mkishaachana ndo basi tena kila mtu anakuwa huru kutoka na yeyote yule ampendaye.
wa zamani si wangu, tukiachana biashara imeishia hapo hakuna cha urafiki wala nini, tukikutana ni HI tu hakuna story nyingine