Watanzania wanaofanya biashara Comoros, Seychelles, Mauritius, Madagascar, n.k

kamandawasua

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
326
86
Habari zenu Nguvu kazi ya Taifa.
Nimepata safari ya kwenda Comoros, Seychelles, Mauritius, Madagascar. Ila ndo mara ya kwanza kwenda huko. Napenda kufahamu kuhusu gharama za usafiri na maisha ya hayo maeneo.
Maelezo yeyote yanayousiana yanahitajika.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom