Wa-Tanzania DC Mchagueni Mamuya!

Unamsifia Idd kwa uwezo wake au kwa Dini yake??

U-msomi ila hueleweki wala hutabiriki.

Hongera Idd, you deserve it!!
Hongera sana Iddi kupata wadhifa huo, pasi na shaka wana Silver spring walikuamini sana na wewe usiwa angushe. Hongera sana.

Tunaomba mtupe nani wateule wengine kama katibu, mwekahazina na wengine ili tuweze kuwafahamu na kwa faida ya wote. Lakin vile vile tutatenda haki kama tutapata majina ya wagombea wote na kura walizobahatika na kujaaliwa kupata katika uchaguzi huo.

Nitakupongeza Mwisho wa mwezi huu insh'Allah nikija hapo Richmond.

William pole sana! Ndio siasa. CCM haitakiwi hata Marekani, tukiwaambia mnasema tunawaonea wivu.
 
Loveness ana usomi gani?? Come on William... Certificate ya HHA nao ni usomi .....kwenye interview yake hajataja elimu zaidi ya sekondari. Sikiliza kwa makini hiyo interview ndipo ujiridhishe kama kweli ni msomi. Hata hivyo hii mada inaweza kuwa irrelevant kwani tayari alishapigwa chini but tunatakiwa kuweka rekodi streiti.

[video=vimeo;40188730]http://vimeo.com/40188730[/video]
Asante william anafikiri watz niwajinga! Kubebana kumeisha.
 
Hivi huyu William hajaona aibu.mamuya kumbe Hana usomo wowote. Shame on u William.
 
Loveness ana usomi gani?? Come on William... Certificate ya HHA nao ni usomi .....kwenye interview yake hajataja elimu zaidi ya sekondari. Sikiliza kwa makini hiyo interview ndipo ujiridhishe kama kweli ni msomi. Hata hivyo hii mada inaweza kuwa irrelevant kwani tayari alishapigwa chini but tunatakiwa kuweka rekodi streiti.

[video=vimeo;40188730]http://vimeo.com/40188730[/video]

Thanks mkuu...

At least tunazidi kujua mkurupukaji na his lack of efforts za kufanya research kidogo tu, hata ambazo hazihitaji wanasayansi na protocols
 
Hahaha,

William ananikumbusha historia ya Harry S. Truman, rais wa 33 wa Marekani. Katika kitabu kilichoshinda tuzo ya Pulitzer cha David McCullough "Truman" tunaonyeshwa wakati Truman bado hajapanda ngazi sana katika uongozi wa siasa kulikuwa na mtu mmoja anaitwa Tom Pendergast, Democratic party boss wa Kansas City.

Basi jamaa ukitaka kupita uchaguzi wowote viwanja hivyo vya Missouri ni lazima umshawishi, ukishamshawishi yeye anamaliza mchezo wote kwani boss Pendergast akisema chess lote limeisha.

Sasa William hajaingia hata bungeni kashageuka boss Pendergast tayari, akiingia huko bungeni sijui itakuwaje.

William, kifupi you are not convincing. Kufanyiana kampeni si kitu kibaya katika siasa, na mtu wako anaweza kuwa anafaa kama unavyosema. lakini there is a thin line between campaigning for someone and attempting to remote control an election.

Unaposema "mpigieni kura fulani, anafaa, ni mzuri" bila ya kutoa a convincing case, unafanya remote controlling. Kama unataka kufanya kampeni wape watu wa DC sifa za kutosha ili hata wanapompigia kura mtu, wasipige kwa sababu "William (boss Pendergast) kasema, bali kwa sababu kuna characteristics fulani zimewagusa wanampigia mgombea kwa kumuamini kweli ndiye mtu wanayemtakaaa.a

Halafu watu wengine wana roho za paka, eti "charity begins at home".

The irony! The sheer audacity!
 
Hahaha,

William ananikumbusha katika historia ya Harry S. Truman, rais wa 33 wa Marekani, wakati bado hajapanda ngazi kulikuwa na mtu mmoja anaitwa Tom Pendergast, Democratic party boss wa Kansas City.

Basi jamaa ukitaka kupita uchaguzi wowote viwanja hivyo vya Missouri ni lazima umshawishi, ukishamshawishi yeye anamaliza mchezo wote kwani boss Pendergast akisema chess lote limeisha.

Sasa William hajaingia hata bungeni kashageuka boss Pendergast tayari, akiingia huko bungeni sijui itakuwaje.

William, kifupi you are not convincing. Kufanyiana kampeni si kitu kibaya katika siasa, na mtu wako anaweza kuwa anafaa kama unavyosema. lakini there is a thin line between campaigning for someone and attempting to remote control an election.

Unaposema "mpigieni kura fulani, anafaa, ni mzuri" bila ya kutoa a convincing case, unafanya remote controlling. Kama unataka kufanya kampeni wape watu wa DC sifa za kutosha ili hata wanapompigia kura mtu, wasipige kwa sababu "William (boss Pendergast) kasema, bali kwa sababu kuna characteristics fulani zimewagusa wanampigia mgombea kwa kumuamini kweli ndiye mtu wanayemtakaaa.a

Halafu watu wengine wana roho za paka, eti "charity begins at home".

The irony! The sheer audacity!

- Ha! ha! ha! Ulikuwa ni uchaguzi na sasa umeisha, kama kawaida hatujawahi kuogopa au kuwa nduma kuwili au unafiki na two faces, huwa tunasema one thing bila kuchanganya maneno wala kubabaika, nimesema hivi;-

- kwenye uchaguzi wa DC uliopita, nilikuwa ninamuunga mkono Sister Loveness Mamuya, uchaguzi umefanyika ameshindwa na amekubali bila kinyongo life goes on, hata siku siwezi kuogopa kusema wazi what I stand for, hayo yako ni kelele za mlango tu!

William @Dodoma City!
 
Ndiyo Mzee, boss Pendergast omnipresent@everywhere.com maana hizo @NYC @DOM tutachoka kufuatilia sasa.
 
Unamsifia Idd kwa uwezo wake au kwa Dini yake??

U-msomi ila hueleweki wala hutabiriki.

Hongera Idd, you deserve it!!

Namsifia kwa kuchaguliwa kwake nikiamini watu wa DC walitumia uwezo wao na haki yao na uhuru wao kuchagua kile roho napenda. Nawapa pongezi sana kutumia fursa yao hio kuchagua wakipendacho.

Hata ukiwa na choyo na husda dhidi ya Idd hiyo haisaidii lolote, mwenzako ameshachaguliwa.

Mimi panapo majaaliwa nitakuwa Silver spring mwisho wa Mwezi huu Insh'Allah kuangalia familia yangu. Na pasi na shaka nitamtafuta na kumpongeza kwa kumpa tende na halua na kumuombea kwa Mola.

- Ha! ha! ha! Ulikuwa ni uchaguzi na sasa umeisha, kama kawaida hatujawahi kuogopa au kuwa nduma kuwili au unafiki na two faces, huwa tunasema one thing bila kuchanganya maneno wala kubabaika, nimesema hivi;-

- kwenye uchaguzi wa DC uliopita, nilikuwa ninamuunga mkono Sister Loveness Mamuya, uchaguzi umefanyika ameshindwa na amekubali bila kinyongo life goes on, hata siku siwezi kuogopa kusema wazi what I stand for, hayo yako ni kelele za mlango tu!

William @Dodoma City!

Yeah right, with misleading info just for the sake of votes.... It just tell how low you could go just for numbers!!!
 
Back
Top Bottom