Wa-Tanzania DC Mchagueni Mamuya!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Pamoja na kwamba nipo kwenye Marathon za Ubunge wa EAC huku Dodoma, nimekuwa ninaufuatilia sana uchaguzi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, lakini baada ya kufuatilia sana uwezo wa wagombea, ninasema kwamba;

Ninawaomba wananchi huko DC kumchagua Sister Loveness Mamuya, anaonekana kuwa na uwezo mkubwa sana kuliko wengine wote wanaogombea, hasa kutokana na maendeleo yake binafsi aliyoyapata huko toka afike huko DC, ni mpenda watu amewasidia wananchi wengi huko, halafu ni msomi pia na anajua sana mambo ya uchumi ndio maana ameweza kujiletea maendeleo makubwa binafsi, sasa mpeni nafasi aendeleze na kwa wengine, maana charity starts at home.

- Again, MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA WOTE HUKO DC; MCHAGUENI LOVENESS MAMUYA!

William @Dodoma City!
 
wee jamaa ***** kweli,, unadhani wee ni nani mpaka utuambie sii tumpigie huyu? hivi unazani una mvuto sana eeh? kwa taarifa yako huna lolote zaidi ya kubebwa bebwa tu.. weee mwenyewe unahangaikia kura huko. Usitake sifa. tuachie wenyewe
 
- I know nimebebwa bebwa kuishi baharini miaka 6, nimebebwa bebwa kwenda kazini New york Saa nane za usiku kila siku na kufanya kazi masaa 15 kila siku nilikuwa ninabebwa bebwa tu huko, saafi sana!

- Let me say una hoja kwamba tuachie mambo yetu, then it is time to close JF maana hayatuhusu tuwaachie wanasiasa, hivi kabla ya ku-post hapa huwa mnapitia kuangalia unayosema au? ha! ha! ha! ha!

By the way mchagueni Loveness Mamuya, if you know what I mean!

William
 
Loveness Mamuya sisi tuliopo hata Tanzania anatusaidia nini? ndio hao hao waliopelekwa na baba zao marekani. Mimi nakushauri nenda kamuondoe lusinde kwenye jimbo nafikiri angalau hapo tutauona msaada wako
 
Huyu bwana amekuwa kiboko cha CDM kila mara mwatamka jina lake, waachie wana mtera waomgozwe na mbunge ambae ni chaguo lao. Nyie aliwakomesha sana Arumeru kwa maneno mazito
 
Loveness Mamuya sisi tuliopo hata Tanzania anatusaidia nini? ndio hao hao waliopelekwa na baba zao marekani. Mimi nakushauri nenda kamuondoe lusinde kwenye jimbo nafikiri angalau hapo tutauona msaada wako

- Mkuu wacha ubinafsi kuna wananchi wa DC humu, halafu one ishu at a time ukiwa na ishu tofauti anzisha thread yake usichanganye ishus!

William.
 
Malecela me hapo nielekeze nipate ufaham huyo LOVENESS MAMUYA Anagombea katika serikal ya USA?au umoja wa watanzania wa washngton DC?NA anagombea nafasi gani?
 
Mkuu mimi simjui Mamuya, lakini nimefurahishwa na kitendo chake hiki cha kutoka wazi na kuonyesha msimamo wako, wengi wetu tumekuwa na tabia ya kuuunga mkono watu tunaodhani ni bora kisirisiri tukihofia lawama upande wa pili kwako imekuwa tofauti na nakupa big up kwa hilo, imefika wakati sasa tukaambizana waziwazi yupi anaweza na yupi hawezi kuwa kiongozi wetu-labda tukibadili strategy hivi tunaweza kujiondoa kwenye huu umaskini, kwani tatizo letu sisi ni uongozi tu!!
 
- I know nimebebwa bebwa kuishi baharini miaka 6, nimebebwa bebwa kwenda kazini New york Saa nane za usiku kila siku na kufanya kazi masaa 15 kila siku nilikuwa ninabebwa bebwa tu huko, saafi sana!

- Let me say una hoja kwamba tuachie mambo yetu, then it is time to close JF maana hayatuhusu tuwaachie wanasiasa, hivi kabla ya ku-post hapa huwa mnapitia kuangalia unayosema au? ha! ha! ha! ha!

By the way mchagueni Loveness Mamuya, if you know what I mean!

William

Ndugu yangu William bongo tabu tupu, kisa kimaisha umepitia mkondo wa watawala pamoja na kufanya kazi ngumu na za kitumwa bado unaambiwa umebebwa! Kaazi kweli kweli
 
Willy huyo Mamuya ni wa Kaskazini wale wenye kuathiriwa na ukanda/ukabila hawakosi kukwambia unaingiza ukanda/ukabila japo wewe mwenyewe ni wa Dom/DC. Binafsi nimependa jinsi ulivyoangalia uwezo wake na sio ukanda wala ukabila.
 
Naomba nikuulize w.j malecela wala usinijibu nianzishe thread kwaajili ya hili. Iwapo ukipata ubunge kwenye jimbo lolote lile na kama katiba mpya haitabadilisha kikomo cha ubunge na mungu akikuwezasha ufikishe umri kama wa mugabe unategemea utaawachia wenzako wagombee kwenye jimbo hilo wewe ukifisha umri gani?
 
Huyu jamaa mawazo yake yote hayako nyumbani yako NYC. Halafu hii nayo ni siasa? mbona iko jukwaa la siasa.

Wana JF mi naona hatumtendei haki mwenzetu WM,yeye kapost vile anajua wa TZ walioko NYC wanainhia JF kama tunavyofanya huku so si vibaya kusema ukweli wake thn mengine kama yapo tuanzishe uzi mwingine.Tumwache astruggle na ubunge wa EAC kama kaanza na MUNGU na atamaliza na MUNGU and vice versa....
 
Naomba nikuulize w.j malecela wala usinijibu nianzishe thread kwaajili ya hili. Iwapo ukipata ubunge kwenye jimbo lolote lile na kama katiba mpya haitabadilisha kikomo cha ubunge na mungu akikuwezasha ufikishe umri kama wa mugabe unategemea utaawachia wenzako wagombee kwenye jimbo hilo wewe ukifisha umri gani?

- Please anzisha thread ya ukomo wa uongozi hii ni ya Loveness Mamuya, tunamuombea kura huko DC washington awe kiongozi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania.

William.
 
huyu loveness Mamuya una uhusiano naye wowote ule?
Manake ccm mnapigia debe ndugu,wachumba au wakwe zenu tu.
 
Halafu Willy' ukiwa unaandika Dodoma peke yake inatosha,unavyoandika Dodoma city unachanganya watu! Halafu huo uchaguzi utatoa mwakilishi wa jumuiya hiyo ya watanzania waishio DC' Je utakuwa na manufaa yeyote ya kwa watanzania wengine?!
 
Willy huyo Mamuya ni wa Kaskazini wale wenye kuathiriwa na ukanda/ukabila hawakosi kukwambia unaingiza ukanda/ukabila japo wewe mwenyewe ni wa Dom/DC. Binafsi nimependa jinsi ulivyoangalia uwezo wake na sio ukanda wala ukabila.

Hujui kuwa mama yake wa kambo na manager wa kampeni yake ni kutoka kaskazini?
 
Back
Top Bottom