Wa saut tutakoma

Dah kaka tupo on the same situation lakini situnaenda orientation tuu
 
kama vipi utapofika saut main campus 14/9 nipimie

week ya kwanza huwa ni orientation course ambayo huwa tuu kuonyeshwa mazingira na jinc ya kuishi chuoni then week inayofuata ndo masomo yanaanza so km nia yako ni kusubiri ela za bodi bac unaweza kusubiria hiyo week ipite coz hainaga umuhimu sn ila km unania kweli uhudhurie ht hy orientation course bac nenda na administration fee, wanaweza kukuregister huku unackilizia ela za bodi zije ili ulipie baadae, ckumbuki vzr administration fee ni how much (angalia kwny fee structure), kingine km ela unazo unaweza ukalipa ada yote tuu cio tatizo then ile ada ya bodi ikija inajiendeleza inakuwa like umelipa na ada ya semista ya pili au ya mwaka unaofatia, itategemea umelipa sh.ngap, au unaweza baadae ukaandika barua kukidai chuo ukiambatanisha vielelezo vyako, tho kurudishiwa ada huwa ni process ndefu sn.
source me mwenyewe nimemaliza saut
 
Dah poleni wakuu ila ndio maisha hayo kila la kheri. Sisi mpaka tar 14th October
 
mkuu samahani naomba kuuliza birth certificate wanazifanyiaga nini wanacheki tu nakukurudishia au wana kaa nazo
 
Tofauti ya SAUT na UDSM inaanzia hapo. Ingekua UDSM wanfungua kabla loan board hawajarelease majina Watu wangekua wanaplan kunji kwamba watalipaje Ada ilihali mikopo haijatoka. Wa SAUT wao washua wao washadeposit at least nusu ya ada........!!!! Nawahurumia watoto wa mkulima waliopangwa huko!!!!
 
wanaziangalia then wanakurudishia hapo hapo, yaan anahakikisha tuu km ni kweli then unapewa hapo hapo ht humuachii, including na vyeti vingine na result slip, anakuuliza viko wapi anaangalia km ni kweli , then kule anatick kuwa kiko right then unasepa
 
tarehe 14 ni kwaajili ya reg. thn trh 17 orientation inaaza. 25/09/2012 masomo ndo yanaanza halafu hata hivyo hela ya bodi tunapata after 2 weeks baada ya kufungua chuo ambayo ni trh 25. So mpunga unaiingia 2weeks after 25 unatakiwa ujipange ndugu.
Kuhusu vyeti ni huwa wanaviangalia tu thn wanakupa hapo hapo.
 
wanaziangalia then wanakurudishia hapo hapo, yaan anahakikisha tuu km ni kweli then unapewa hapo hapo ht humuachii, including na vyeti vingine na result slip, anakuuliza viko wapi anaangalia km ni kweli , then kule anatick kuwa kiko right then unasepa

Nakushukuru kwa maelezo yako mkuu
 
Sasa sijui kwenye kulipa ada itakuaje apa kweli milioni itapatikana kwa fasta fasta kweli? Maada ada kama ni ivyo nusu ni laki 6 ukijumlisha administrative fee laki 8 na ushee aya tuje hostel au kupangaa jaman bila milion moja apa chuo kitakuwa kichungu eeeh Mungu utuhurumie wafungue macho Heslb
 
Tofauti ya SAUT na UDSM inaanzia hapo. Ingekua UDSM wanfungua kabla loan board hawajarelease majina Watu wangekua wanaplan kunji kwamba watalipaje Ada ilihali mikopo haijatoka. Wa SAUT wao washua wao washadeposit at least nusu ya ada........!!!! Nawahurumia watoto wa mkulima waliopangwa huko!!!!
we mchaga au????
 
Da wakuu wa saut polen sana,vumilien 2one mambo yatakuweje,helsb ni wazur kwa jina na wachungu wa matendo,2tawasubir mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom