Alcady12
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 449
- 552
Vizuri kama ungelala mapema ili uwahi kuamkaWewe mkuzi nadhani huu mchezo bado hujauelewa vizuri
Vizuri kama ungelala mapema ili uwahi kuamkaWewe mkuzi nadhani huu mchezo bado hujauelewa vizuri
Kuamka asubuhi mapema piga mswaki na kuosha usoVizuri kama ungelala mapema ili uwahi kuamka
Gari lenyewe la mwendo kasiMkono umevunjika baada ya kugongwa na gari
Uso wangu nikiamka unakuwa na makunyanziKuamka asubuhi mapema piga mswaki na kuosha uso
Makunyanzi gani mbna yanakuaga kwa kudumu ww yanakupata asubuh tuUso wangu nikiamka unakuwa na makunyanzi
Tu muombe mungu atusaidie siku iishe salamaMakunyanzi gani mbna yanakuaga kwa kudumu ww yanakupata asubuh tu
Salama si ndo alimzimia mic kibakuli??Tu muombe mungu atusaidie siku iishe salama
Kibakuli cha uji sikioni hapa, sijui nani kakiondosha jikoni...Salama si ndo alimzimia mic kibakuli??
Jikoni kuna panya bila shaka wamekidondoshaKibakuli cha uji sikioni hapa, sijui nani kakiondosha jikoni...
Wamekidondosha kijiko cha mchuzi yapaswa wakioshe haraka niweze kupakua....Jikoni kuna panya bila shaka wamekidondosha
Kupakua chakula kipi mbona jikoni hata moto hamna?Wamekidondosha kijiko cha mchuzi yapaswa wakioshe haraka niweze kupakua....
Hamna mkaa ulobaki ndani ya gunia humo jikoni, Jamani mnapeleka wapi mkaa wa kupikia..Kupakua chakula kipi mbona jikoni hata moto hamna?
Kupikia siku hizi watu wanatumia gesiHamna mkaa ulobaki ndani ya gunia humo jikoni, Jamani mnapeleka wapi mkaa wa kupikia..
Gesi huku mkoani kwetu bado haijafika.....Kupikia siku hizi watu wanatumia gesi
Haijafika hata huku kwetu vijijini tunatumia kuniGesi huku mkoani kwetu bado haijafika.....
Kuni siku hizi ni adimu, kwa sababu imepigwa marufuku kitaifa kukata misitu na pori......Haijafika hata huku kwetu vijijini tunatumia kuni
Misitu na pori tuitunze miti, kwa kuendesha kampeni ya mti wangu au kata mti panda mtiKuni siku hizi ni adimu, kwa sababu imepigwa marufuku kitaifa kukata misitu na pori......
Kata mti panda mti ni kauli mbiu muwafaka kwa jamii na wastan wa mazingira bora....Misitu na pori tuitunze miti, kwa kuendesha kampeni ya mti wangu au kata mti panda mti
Mazingira bora tuyatunze tusikate miti ovyo na kuchoma moto misituKata mti panda mti ni kauli mbiu muwafaka kwa jamii na wastan wa mazingira bora....
Misitu ilindwe kwa hali na mali Pia raia nao walazimike kulinda maliasili.....Mazingira bora tuyatunze tusikate miti ovyo na kuchoma moto misitu