ndio mzee wimbo wa profesa jay mb.Uzi huu umekua mrefu mpaka unaboa uneona eeeeeh levels so ndio
Mb ni abbreviation ya mega bitsndio mzee wimbo wa profesa jay mb.
Utandawazi wa dunia ya tatu ni kuiga upuuzi, ws dunia ya kwanza ni jinsi ya kujiendeleza kiuchumiUsoni hawana haya wala hawaoni vibaya, ukiuliza utaambiwa hii dunia ni ya utandawazi!!
Kiuchumi bado vipato vyetu ni duni kwa sababu wengi hatuna ajiraUtandawazi wa dunia ya tatu ni kuiga upuuzi, ws dunia ya kwanza ni jinsi ya kujiendeleza kiuchumi
Viwanda na biasharaNdoto ya Tanzania ya viwanda
Ndio changamoto zenyewe, Msianze kuhaha haha... Uzi huu unajenga hoja, unajenga masimati, na unakuza wigu la kuchanganua.....Uzi huu umekua mrefu mpaka unaboa uneona eeeeeh levels so ndio
Mantiki kujuwana na kuelewana kunaleta maridhianoKuchanganua mambo kunahitaji utulivu ili ujumbe uwe na mantiki
Maridhiano kunahitajika katika kusuluhisha mtafaruku wa kisiasa......Mantiki kujuwana na kuelewana kunaleta maridhiano
Tunasuasua kwa sababu ya ubabaishajikisiasa, kiuchumi na kitamaduni bado tunasuasua
Ubabaishaji huu tulonao hapa nchini ndiyo sababu kuu ya LAANA inayotufunika tusijikomboe na ni APIZO la mnyonge.....Tunasuasua kwa sababu ya ubabaishaji
Haki hapa nchini ni kutamka tu... ila bado hatuna REAL HAKI !!Ubabaishaji na njaa, tunapenda njia za mkato na kutofuata taratibu na haki