Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,103
ghali, ghali habibi wewe ghali kukupata upo mbali....Malaya siku hizi wakuwa ghali??
ghali, ghali habibi wewe ghali kukupata upo mbali....Malaya siku hizi wakuwa ghali??
Mbali ya kuwa kila mwanajavi anamawazo yake lakini tumepata JF imetufanya tuwasiliane kama tunafahamianaghali, ghali habibi wewe ghali kukupata upo mbali....
Tunafahamiana ila wa mbuzi mshenz uzi gan huu wakuuMbali ya kuwa kila mwanajavi anamawazo yake lakini tumepata JF imetufanya tuwasiliane kama tunafahamiana
Wakuu Wambuzi ni mbunifu na anastahili Tunzo ya ubunifuTunafahamiana ila wa mbuzi mshenz uzi gan huu wakuu
Ubunifu gani wautaka wewe wakati kazi kwishney!!!Wakuu Wambuzi ni mbunifu na anastahili Tunzo ya ubunifu
Kwishney bado sana usijichekesheUbunifu gani wautaka wewe wakati kazi kwishney!!!
Usijichekeshe usije ukakojoaKwishney bado sana usijichekeshe
Ukakolea kujipaka mafuta ili ung'ae hadi ipande bei !!!!!Usijichekeshe usije ukakojoa
Bei ya Sukari kwa 2016 nchini Tz ni gumzo kila konaUkakolea kujipaka mafuta ili ung'ae hadi ipande bei !!!!!
Sana utakuwa imara kama ukuta umejengwa kwa mabuaUkuta wa nyumba ya magufuli ni imara sana.
Sana utakuwa imara kama ukuta umejengwa kwa mabua
Wengi wao walikuwa wana athari za mikuruzo usoni....Mabua ndugu Mtebetini ndio tunao vijana wengi ktk mchezo huu hawaheshimu mpangilio na staha ya kutumia maneno ya sio rafiki ya wengi.
Usoni hawana haya wala hawaoni vibaya, ukiuliza utaambiwa hii dunia ni ya utandawazi!!Wengi wao walikuwa wana athari za mikuruzo usoni....
Usoni kwa Wambuzi Kuna ngeu kubwa sanaWengi wao walikuwa wana athari za mikuruzo usoni....
Utandawazi huu umevamiwa na malamkanja...Usoni hawana haya wala hawaoni vibaya, ukiuliza utaambiwa hii dunia ni ya utandawazi!!
Jaman mwambie moderator afute huu uziKulisingizia Taifa letu la Tanzania halina amani ndio nini JAMANI