Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,833
- 4,458
Lini umeshinda huu mchezo usiohitaji hasira ?Tafadhali naomba kujulishwa zawadi ya ushindi napewa lini
Lini umeshinda huu mchezo usiohitaji hasira ?Tafadhali naomba kujulishwa zawadi ya ushindi napewa lini
Tafadhali pokea Shukuran zangu ZZ dua'a njema kunitakia Mola atujalie sote mema hapa dunia na kesho akheraSwali lako waweza uliza tafadhali
Sana ndiyo kwanza unaanzaHasira hazina nafasi hapa, mchezo bado mapema sana.
Mbali na kushinda zawadi lazma nichukueSana ndiyo kwanza unaanza
Toka mwaka 2012 June 29 hajapatikana mshindi hasira ikae mbali
Nichukue kombe mie wengine itabaki hadithiMbali na kushinda zawadi lazma nichukue
Hasira zanini wewe kaka wataka kuniua bure kaka kombe si lako ushindi sio wako chuki ya nini kati yetuLini umeshinda huu mchezo usiohitaji hasira ?
Hadithi ni ndefu inashindana na tanthilia ya IsindingoNichukue kombe mie wengine itabaki hadithi
Tafadhali sikilizeni ,Ni nini dawa ya kulalaSwali lako waweza uliza tafadhali
Yetu nafsi ni moja kwa maana tume share, hatuna chuki zaidi ya upendo dadaHasira zanini wewe kaka wataka kuniua bure kaka kombe si lako ushindi sio wako chuki ya nini kati yetu
Kulalaje.?Tafadhali sikilizeni ,Ni nini dawa ya kulala
Kulala ni involuntary, hakuna dawa zaidu ya kukubali matokeoTafadhali sikilizeni ,Ni nini dawa ya kulala
Kulalaje ndio swali lako ? Ni ile hali ya kulala ktk any style utakayo, i prefer ubavu kwa mkono wa kuliaKulalaje.?
Dada poa wameadimika toka waondolewe sehemu walizokuwepoYetu nafsi ni moja kwa maana tume share, hatuna chuki zaidi ya upendo dada
Kulia ni dawa nayoipenda kuondoa machunguKulala ni involuntary, hakuna dawa zaidu ya kukubali matokeo
Kulalaje ndio swali lako ? Ni ile hali ya kulala ktk any style utakayo, i prefer ubavu kwa mkono wa kulia
Kulia ni upande mzuri wa kutaftia usingizi kitandani....Kulala ni involuntary, hakuna dawa zaidu ya kukubali matokeo
Kulalaje ndio swali lako ? Ni ile hali ya kulala ktk any style utakayo, i prefer ubavu kwa mkono wa kulia
Machungu majani ya moarbaini hasa unapoyala mabichiKulia ni dawa nayoipenda kuondoa machungu
Kitandani panafaa zaidi kujinyoosha kuliko kwenye kochiKulia ni upande mzuri wa kutaftia usingizi kitandani....
Walizokuwepo ni sehemu ambazo Polisi washakabaDada poa wameadimika toka waondolewe sehemu walizokuwepo
Machungu ya kufiwa kulia ndo dawa pekee kwa watu wengiKulia ni dawa nayoipenda kuondoa machungu
Kitandani nimelala na niwatakie Usiku mwemaKulia ni upande mzuri wa kutaftia usingizi kitandani....
Mwema ni yule anaewakumbusha kumuomba Mungu kabla yakulalaWalizokuwepo ni sehemu ambazo Polisi washakaba
Machungu ya kufiwa kulia ndo dawa pekee kwa watu wengi
Kitandani nimelala na niwatakie Usiku mwema
Kulala ni matokeo ya mwili kuchookaMwema ni yule anaewakumbusha kumuomba Mungu kabla yakulala