Tundu lipi?Toto tundu
Lipi lisilo kuwa na lile... asiyekuwa na hili ana lile !!!Tundu lipi?
Lakuhuzunisha tu !! Lilikuwa la angamizo nje ya makadirio ya kibinaAdamu, tuombe isitokee tenaLile tukio la msikitin kule jijin Mwanza lilikuwa lakuhuzunisha
Tena waliofanya unyama huo wakamatwe na kupewa adhabu kali kupindukia.Lakuhuzunisha tu !! Lilikuwa la angamizo nje ya makadirio ya kibinaAdamu, tuombe isitokee tena
Kupindukia ndani ya maji ni hatari zaid kuliko kupindukia nchi kavuTena waliofanya unyama huo wakamatwe na kupewa adhabu kali kupindukia.
Kavu au mbichi shamba na mazao yake yameathirika !!!Kupindukia ndani ya maji ni hatari zaid kuliko kupindukia nchi kavu
Kupindukia kwa maadili kumetufikisha kwenye janga la ubakaji na uvamizi .....Tena waliofanya unyama huo wakamatwe na kupewa adhabu kali kupindukia.
Uvamizi wa ardhi kiukweli umekithiri.Kupindukia kwa maadili kumetufikisha kwenye janga la ubakaji na uvamizi .....
Umekithiri kwa sababu ina masilahi makubwa !!Uvamizi wa ardhi kiukweli umekithiri.
Makubwa...!! Madogo yana nafuu.Umekithiri kwa sababu ina masilahi makubwa !!
Nafuu miamala ya benki kutuma fedha zako nje na ndani ya nchi !!!Makubwa...!! Madogo yana nafuu.
Umekithiri kwa sababu ina masilahi makubwa !!
Majanga ni adhabu isiyo na tafsiri yeyote katika jamiiMakubwa Na madogo yote Ni majanga
Majanga ni adhabu isiyo na tafsiri yeyote katika jamii
Hekima na umoja tudumishe, Amani na busara zitawale taifaJamii forums za Kila aina Zina tuweka Pamoja Na kutukutanisha Na watu wenye hekima
Taifa letu wananchi wake tumeunganishwa na lugha adhim ya kiswahiliHekima na umoja tudumishe, Amani na busara zitawale taifa
Kiswahili ndicho kilicho ongeza amani na maelewano kati ya makabila nchini Tanzania....Taifa letu wananchi wake tumeunganisha na lugha adhim ya kiswahili
Tanzania ndiyo kuna mlima mrefu kuliko yote Africa.Kiswahili ndicho kilicho ongeza amani na maelewano kati ya makabila nchini Tanzania....