mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 985
Ole wake wenye vinaa vya sasa coz sio sawa na vya kale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya kukaa kimyaVina ni nini
Kimya kimetawala kwa sababu kuna msiba hapo kwa jirani...Nini maana ya kukaa kimya
Jirani yupi? mbona simjui?Kimya kimetawala kwa sababu kuna msiba hapo kwa jirani...
Simjui ? kwani tunaishi mtaa mmoja nawee huachi utani....Jirani yupi? mbona simjui?
Simjui ? kwani tunaishi mtaa mmoja nawee huachi utani....
Marafiki tunao kihulka na alwatan kwa kuwa umasikini umetamaluki kati yetu...acha tupate mbwata!!Utani wa makabila umetufanya watanzania kuwa marafiki
Mbwata usikutishe sana na kitu cha muda,hakuna kilicho na mwanzo kikakosa mwishoMarafiki tunao kihulka na alwatan kwa kuwa umasikini umetamaluki kati yetu...acha tupate mbwata!!
Marafiki hupendana na kuhurumianaUtani wa makabila umetufanya watanzania kuwa marafiki
Kuhurumiana na ucha Mungu wa kiwango kikubwaMarafiki hupendana na kuhurumiana
Kuhurumiana na ucha Mungu wa kiwango kikubwa
pumzi ndefu ruti fupiKikubwa pumzi
Fupi huongezwa urefu na kufikia kiwango stahikipumzi ndefu ruti fupi
Stahiki zote hupewa wapenzi wanaopendana na kuonyeshana mapenzi ya dhati kwenye jamiiFupi huongezwa urefu na kufikia kiwango stahiki
Fupi huongezwa urefu na kufikia kiwango stahiki
Jamii kwa sasa inamihemeko na misongo kibao, ila wewe T1990ELY una mawazo ya mapenzi.....Stahiki zote hupewa wapenzi wanaopendana na kuonyeshana mapenzi ya dhati kwenye jamii
tena naomba ukome kunifatiria maana mimi ni mme wa mtuStahiki?stahiki gani ZZ nilipotea kwenda kuongeza urefu nikaambiwa nimefikia kiwango sijui kiwango gani tena
Tena ukiongeza utaua mishipa iliyobaki salama....Stahiki?stahiki gani ZZ nilipotea kwenda kuongeza urefu nikaambiwa nimefikia kiwango sijui kiwango gani tena