Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,103
kuzuri kule mbali mbali niendapo kupunga upepo wa mawimbi ya bahari....Kulala bila net sio kuzuri
kuzuri kule mbali mbali niendapo kupunga upepo wa mawimbi ya bahari....Kulala bila net sio kuzuri
Ningefurahi kama tungesafiri mpaka TanganyikaYangu hali ungenijulia ningefurahi
Tanganyika haipo labda uifufue weweNingefurahi kama tungesafiri mpaka Tanganyika
Tanganyika kulikuwa kuzuriNingefurahi kama tungesafiri mpaka Tanganyika
Wewe si waipenda ingawa machoni haipoTanganyika haipo labda uifufue wewe
Haipo iko wapi?Wewe si waipenda ingawa machoni haipo
Wapi penye kuhitaji kuungwa......Haipo iko wapi?
Sana napenda kunywa ndovu baridiKuungwa mkono na waungwana ni raha sana
Sana neno hili linajirudia na kutumika ktk uzi huu kwa sasa basi......Kuungwa mkono na waungwana ni raha sana
Baridi ya Arusha au ya Mbeya ipi ina ahweni...?Sana napenda kunywa ndovu baridi
Ahweni kwenye baridi kote ni kuota motoBaridi ya Arusha au ya Mbeya ipi ina ahweni...?
Moto ndiyo dawa chuma !!Ahweni kwenye baridi kote ni kuota moto
Chuma cha puaMoto ndiyo dawa chuma !!
Pua,mdomo na macho ndiyo huunda sura kamili....Chuma cha pua
Kamili ni timilifu haiko nusu wala roboPua,mdomo na macho ndiyo huunda sura kamili....
Mwema alikuwa afande WA taifaKamili ni timilifu haiko nusu wala robo
Robo ya usiku imebakia kuchwe nami nilikuwa nalinda zamu ya usiku ngoja nikapumzike kidogo hivi Sasa ni saa 04:03usiku. Usiku mwema
Mangu ni wa kwetuTaifa linasonga mbele baada ya Mwema kiti kimekaliwa na IGP Mangu