Wa mwisho ndiyo mshindi

Sikuelewa kabisa name naona maluweluwe. Wambuzi yuko wapi jamani aloanzisha?
 
Mb8? Haitoshi kuvuruga kwa makusudi huu mchezo.
MTWAsi b5-click usijali,naelewa kuwa kanuni inakuja ku be-skipped pale zaidi ya mmoja wanapocomment kwa pamoja.Atakaye chelewa kupost ataonekana kutokuzingatia kanuni.
Karibuni dinner wandugu
 
Last edited by a moderator:
Aluta continuer Nadhani kikwete alikuwa kiongozi aliyejitahidi kujenga kwake na kuwaacha wananchi njia panda..! Kampeni za mwaka huu ni kupigania rushwa na kipaumbele kwa ajira za vijana
 
Back
Top Bottom