Atkinson
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 516
- 1,159
msimu huu ligi zote za moto, utasikia man u anaringa kwa kumfunga Chelsea af mda kidogo kapigwa naeLiverpool anaweza akachukua premier league msimu huu
msimu huu ligi zote za moto, utasikia man u anaringa kwa kumfunga Chelsea af mda kidogo kapigwa naeLiverpool anaweza akachukua premier league msimu huu
Huu uongozi wa awamu ya tano una mambo mengi ya kishamba.Liverpool anaweza akachukua premier league msimu huu
Kishamba sana hasa ishu za kutekanaHuu uongozi wa awamu ya tano una mambo mengi ya kishamba.
Nalog off
Kutekana kihisia kunahitaji utundu.Kishamba sana hasa ishu za kutekana
Huu ni uchocheziLiverpool anaweza akachukua premier league msimu huu
Uchochezi tija ya ni vurugu lisilo na Lazima...Huu ni uchochezi
Uchochezi tija ya ni vurugu lisilo na Lazima...
Unadaiwa halafu hulipi, lazima ndege itekwe!Lazima kulipa deni kama unadaiwa
Itekwe vipi !?? Huo siyo ustaarabu !!Unadaiwa halafu hulipi, lazima ndege itekwe!
Ustaarabu ni kulipa deni tuItekwe vipi !?? Huo siyo ustaarabu !!
tu kitu gani, mwaume madeni, Deni halifungi mtu mwanaume anaeogopa kudaiwa sio mwanaume.Ustaarabu ni kulipa deni tu
Nalog off
Mwanaume anaeogopa kudaiwa hatooa binti yangutu kitu gani, mwaume madeni, Deni halifungi mtu mwanaume anaeogopa kudaiwa sio mwanaume.
Yangu machoMwanaume anaeogopa kudaiwa hatooa binti yangu
Macho yanatakiwa yamtazame mwanaume anayeogopa kudaiwa kama ni shoga,hafai kuwepo kwenye jamii yetu.Yangu macho
yetu na yao pia, Jamii zote hazifai kua na wanaume wa Aina jiyo, eti mtu anakudai ukisikia anagonga mlango unajificha uvunguni unamwambia mkeo na watoto zako wa kike "mwambieni sipo"🙉🙉🙉Macho yanatakiwa yamtazame mwanaume anayeogopa kudaiwa kama ni shoga,hafai kuwepo kwenye jamii yetu.
Nalog off
Yetu ni yetu tu tuithamini na kuitetea hata kwa mabavu !!Macho yanatakiwa yamtazame mwanaume anayeogopa kudaiwa kama ni shoga,hafai kuwepo kwenye jamii yetu.
Nalog off
Mabavu Hayapaswi Kutymika Kwenye amaniYetu ni yetu tu tuithamini na kuitetea hata kwa mabavu !!
Amani haikai pasipo kulindwaMabavu Hayapaswi Kutymika Kwenye amani
Kulindwa Ni Sawa Na Kondoo na MchungajiAmani haikai pasipo kulindwa