Siku hiyo nataka kuja na mfuko wa plastic mweusi nihifadhi pilau la baadaeMfuko? Tumbo lako ndo Mfuko sku iyo
Ijumaa kesho panapo majaaliwa waislam wataenda msikitini na pia kesho ni siku ya uhuruWakristo kila jumamosi na jumapili ni siku ya ibada, waislam wao ijumaa
Sana sana tuombe tulaleIjumaa ni siku nzuri sana
Inshallah niwatakie usiku mwema, byeTulale kesho inshaallah
Silali ni boda ya Tz na KenyaBye Mimi silali
Wapi ulipo wwWewe uko wapi!?
Wewe unachati mwenyeweWapi ulipo ww