Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

halafu mambo ya heater kuchemsha maji watu tulikuwa tunachemsha juu ya dari na kisadolini!heater yenyewe imechakaa imebaki waya tu!dah!ilikuwa balaa

Tilly heater tulikuwa tunaita mtambo, ole wako baba kadoda second master akukute. Ila lumumba kuna watu walipinda heater coil za kitanda cha banko mahindi yanachemshwa dalini kwenye ndoo
 
Hahahaha!umenikumbusha mbali aisee,nakumbuka watu tukiwa mjin ukiona difenda nyeupe ni kukimbia tu maana ukikamatwa unapakizwa na shule huna,niliathiri mpaka nikiwa likizo dar nikiona difenda nyeupe nataka kukimbia!

Kuna siku tunaenda town 2po ndani ya daladala mwl mwakanemele alikuwa mwl wa bweni lumumba west akawa anasimamisha gari barabarani usawa wa danish tukamwambia suka mpite tutakupa nauli yake. Dereva alicheka akampita
 
enzi hizo 2nd master Ng'ui.."yah nimemuona Mbugi kwa macho yangu makanyagio"...

Ngui anatembea kama anataka kuruka. Aliwahi pigwa na mwanafunzi pale shaban west lkn hakumwacha dent alikuwa anatoka nyaks. Akamfukuzisha xul ila yule msela alikuja maliza UDSM
 
masebo ndio alikuwa kiboko na koti lake hilo hilo kila siku..." eh nimekukamata," ha ha haa

Masebo yeye na sigara. Koti moja kila siku. Akikudaka town anakuchapa fimbo nyingi yanaisha. Mara ya mwisho nimepanda nae gari naelekea moro alisema yupo makongo
 
Kuna siku tunaenda town 2po ndani ya daladala mwl mwakanemele alikuwa mwl wa bweni lumumba west akawa anasimamisha gari barabarani usawa wa danish tukamwambia suka mpite tutakupa nauli yake. Dereva alicheka akampita
nakumbuka alikuja kulalamika mpaka Assembly, akidai alikuwa na shida ya kwenda mjini mkamlostisha..ha ha haa
 
yeah, huku DH, unakutana na Makene waziri wa chakula na maneno yake ya kiswahili,akisaidiana na chua Poison,papillon ulikuwa Bernie gani?

Nilikuwa sh east. Pale sh west common rum ilikuwa inaitwa gaza strip cjui iliendelea kuitwa hvyo
 
Back
Top Bottom