Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

kali zaidi ni jamaa mmoja hivi alikuwa anakaa mwembetogwa jamaa mrefu halafu BAUNSA, infact mpaka leosijawahi kuona mtu wa namna hiyo tena. jamaa anatisha,siku ya disco alikuwa anakuja mziki hakuna wa kumzuia wala kuomba kiingilio.akikaribia mlangoni walinzi wanajifanya kuangalia kwingine kwa kumuogopa huyo jamaa.siku moja alipita bweni la lumumba east,alipita lower wing kupitia mlango wa mbele.Mimi nilikuwa kwenye cube ya kwanza lower wing halafu juu(kwenye deka).nilijikuta kichwa changu kimetizamana sambamba na mtu aliyesimama,niliruka chini nusura nivunje kiuno.
 
Tehe tehe tehe kumbe wengi humu mmepita Mkwawa, mimi nilikuwepo wakati wa Mbao na ndugu yake Tende...

Na mie nimesoma pale enzi ya mbao atii,wakati tunaingia fom 5 ndio walianzisha matumizi ya kitende(kipaza sauti)kilitwaga ivo coz 2nd masta Tende alipenda kukitumia hata kikiwa kimekata betri na alikua anaondoka nacho kwake!
 
Nadhani tulikuwa wote......
 
Namlaani aliyeibadilisha shule yetu kuwa MUCE....
Yani bora ww acha tu,
Ilikua ikifika wakati wa karibia kumaliza shule roho inauma nikawa nataman hata nirudie!!

Katavi unakumbuka hukumu za ngazi 12 sijui 14 sikumbuki vizuri,ukitoka huko ni mawili either kuwa saspendedi au kufukuzwa,
Ulishawahi kupandishwa kule?
 
Ngazi kumi na tano, kulikuwa hakufai kule, kuna kipindi nilipona kupanda kule baada ya kukamatwa na mwalimu Makwaya mjini. Bahati nzuri sikuwa maarufu na nilimtajia jina la uongo, sikuonekana assemble mwezi mzima hadi hali ya hewa ilipotulia..
 
Hahahaha!umenikumbusha mbali aisee,nakumbuka watu tukiwa mjin ukiona difenda nyeupe ni kukimbia tu maana ukikamatwa unapakizwa na shule huna,niliathiri mpaka nikiwa likizo dar nikiona difenda nyeupe nataka kukimbia!
 
Nakumbuka tukio moja lilitokea karibia tunamaliza shule watu walikamatwa wanatoka disko wengine walikamatiwa ndan ya disko ruaha na mbao mwenyewe,mets wangu 2 walifukuzwa shule,tulikua tunaishi side rum ya agrey west nilikua nakaa na ufunguo wa mlango wa nyuma so mets wangu walikua wakitoka ucku wakirudi nawafungulia cku ya hilo tukio wakatoka km kawa kumbe mama masawe aliwastukia c akaja akaweka kufuli lingine juu ya lililokuwepo,mets waliporudi wakashindwa kuingia wakakamatwa na kufukuzwa
 
wazee mmenikumbusha mbali sana!kwanza wote tuliosoma mkwawa mtake msitake tumekula mbwa!vile vinyama vilikuwa vinauzwa mboga vyote ni mbwa walikuwa wakati wa ulanzi wanakunywa na kulewa kisha wanagongwa na magari nyama inaletwa tunabugia
 
halafu mambo ya heater kuchemsha maji watu tulikuwa tunachemsha juu ya dari na kisadolini!heater yenyewe imechakaa imebaki waya tu!dah!ilikuwa balaa
 
watu wa shaban robert west makanyagio kwao ilikuwa kama sebuleni tu!halafu wanakula maandazi ya makanyigio balaa mpaka wakajaza choo chao wakawa wanakuja kunya lumumba!jamaa kwa maandazi wale noma!
 
watu wa shaban robert west makanyagio kwao ilikuwa kama sebuleni tu!halafu wanakula maandazi ya makanyigio balaa mpaka wakajaza choo chao wakawa wanakuja kunya lumumba!jamaa kwa maandazi wale noma!
chizenga wewe ndo ulikuwa R. Kelly wetu kwenye disco la mkwawa.. ha ha haaa
 
nakumbuka Mgimwa Damas alikuwa anajiita mgimwa D, kwavile alikuwa mfupi,watu wakaitohoa D kuwa DWARF, tukamwita Mgimwa Dwarf
 
Back
Top Bottom