nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
Wenzetu wa Tosa na Mkwawa wamekumbukana,furaha iliyoje!vp wa Mazengo tupo?au niko peke yangu?namkumbuka Tembo,Mgohamwende,Mgalula,Unyama unyama,Malima,Mushumbuzi(alikuwa hatumii bakora,ye makofi tu),Ishengoma,.......nakumbuka kuwadhulumu wauza maandazi........kwa Kweka dukani....dah!..............eti siku hizi ni St. John!!!