Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 758
Askali wa Gadhafi wameuwa raia wengine 15 huko Benghazi na kujerui kadhaa, wakati waandamanaji wakiwa mitaa kudai kungolewa kwa Gadhafi. Inasemekana ndani ya Libra makachero Uchwara wamedhibiti mawasiliano yote ikiwa na mitandao ya internet.
Gadhafi anatumia nguvu nyingi sana na silaha kali ikiwemo missile kutisha raia wa Libra, kwakutumia kikosi maalum kilicho chini ya mtoto wake Khamis Gadhafi. Mpaka sasa inasema tayari wameuwa watu 84.
Inawezekana ni nguvu hii ya Umma ambayo ipo ndani ya Jangwa la Sahara ndio imetia hofu watawala wetu na kuanza vitisho mapema, maana kutoka Libya nchni nyingine inayotawaliwa kinyume na matakwa ya raia ni Tanzania.
Tumeshuhudia kipindi ambacho Serikali ikiwa mikono mwa Wafanyabiashara wachache na kusahau raia, tumeona wakina mama wa vijiji wakiandaliwa bajaji kama ambulance huku wabunge wakilipwa fedha nyingi sana wakati wanafunzi wanaandama na kupigwa kwakukosa fedha za kujikimu.
Tumeshuhudia weaks ikiweka adharani kuwa Rais ndie anayezuia kesi kubwa za Ufisadi zisiendeshwe dhidi ya rafiki zake. Tumeshangazwa na Rais kutamka hadharani kutowajua wamiliki wa Kampuni tata ya Dowans huku vyombo vya dola vikiwa vimemzunguka. Tumetishwa na hatua ya CCM kuendelea kuwalipa na kuwapa madaraka ya bunge watu walio-ihujumu umma kupitia Richmond na Dowans. na akiwa tayari anajiandaa kuwalipa.
Tumeshuhudi wezi wa kuku wakifungwa magerezani huku wa akaunti ya EPA wakiambiwa warudishe fedha ili wasamewehe.
Sasa ni zamu yetu baada ya Libya, Mungu tusaidie Tanzania tumechoka na Utumwa.