Wa kumtolea hamu

Ndo wanakuwaga hao...the likes of Bishangal...umeona RR alivoanika PM zake kule?:poa
nimeona Bishanga kaingia mitini,ndo wale kutongoza mpaka aende kwanza kwa mganga wa kienyeji
 
jamaa wameamua tu kuwa wawazi ila kimsingi sioni tatizo kwani jambo hili si geni kabisa nani ambaye hajawahi kutoa hamu nje relationship yake na awe wa kwanza kushangaa...sema jamaa wamekuwa wawazi...
 
Back
Top Bottom